johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Mbowe Ndio Mtei mwenyewe 😂🔥ACT ina viongozi wake akae kimya, Mbona Mzee Mtei haingilii mambo ya CHADEMA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe Ndio Mtei mwenyewe 😂🔥ACT ina viongozi wake akae kimya, Mbona Mzee Mtei haingilii mambo ya CHADEMA?
Alikwambia? kaa kimyaMbowe Ndio Mtei mwenyewe 😂🔥
😂😂😂🔥Alikwambia? kaa kimya
Ile ya Mudi ?Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu.
Aahaaaa
RIWAYA SURA YA KWANZA : GAIDI ZITTO KABWE NA HIRIZI YAKE KIUNONIACT Wazalendo ni chama Cha kidini chenye mrengo wa kigaidi
Unapokuwa madarakani jitahidi kutumia aya njema za dini zote ulimwenguni unapofanya nukuhu zako la sivyo utakuwa unajipiga ndole wewe mwenyewe kama zuzu zitto kabweAya za Bible hunukuliwa na Viongozi walioko Madarakani Bila kujali dini zao mfano Mzee Makamba wa CCN
Mungu ana dini ama binadam ndo tunadini??Mungu hana dini Mungu ni mwenye vyote.sishangai maana Allah na malaika humswalia mtume sasa sijui hua wanasali kumwomba nani???Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu.
Mungu wa MbinguniMungu ana dini ama binadam ndo tunadini??Mungu hana dini Mungu ni mwenye vyote.sishangai maana Allah na malaika humswalia mtume sasa sijui hua wanasali kumwomba nani???
Na sura?"Din" = njia.
Kila lilipo neno "dini" weka neno "njia", utaelewa tu.
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.Wakiristo wengi wananukuu sana maandiko ktk hotuba zao ya biblia. Wakinuu waislam quran inakuwa nongwa. Mtasikia msiyotaka kuyasikia
Hongera Zitto.
Kigoma, Lindi, Mtwara na Pemba 😂Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.
Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.
Zito ni ccm b au CCM vs ccmKiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine
Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6
" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X
Mlale Unono 😄😄🔥
Kwani bado wanatongozwa?Zitto atambue hawezi kufanya siasa bila kujipima na wengine, ndio maana wao ACT kila siku huwa wanaimba hawataki siasa za maandamano, wao wanataka siasa za kukaa mezani kutongozwa na mtawala.
Ahahahahahhahaha dah ila Tz aisee...
Kama ni hivyo itakuwa Waislam itakuwa wanajielewa maana wapo upinzaniTatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.
Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.