Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Pre GE2025 Zitto Kabwe awajibu CHADEMA asema Wao wanafunzwa katika Dini yao Qur'an Sura 109:6 Lakum dinukum waliyadin. Hivyo kila Mtu ashinde mechi zake!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aya za Bible hunukuliwa na Viongozi walioko Madarakani Bila kujali dini zao mfano Mzee Makamba wa CCN
Unapokuwa madarakani jitahidi kutumia aya njema za dini zote ulimwenguni unapofanya nukuhu zako la sivyo utakuwa unajipiga ndole wewe mwenyewe kama zuzu zitto kabwe
 
Mungu ana dini ama binadam ndo tunadini??Mungu hana dini Mungu ni mwenye vyote.sishangai maana Allah na malaika humswalia mtume sasa sijui hua wanasali kumwomba nani???
Mungu wa Mbinguni

Mtume alisema " Issa bin Mariam unirehemu"
 
Wakiristo wengi wananukuu sana maandiko ktk hotuba zao ya biblia. Wakinuu waislam quran inakuwa nongwa. Mtasikia msiyotaka kuyasikia
Hongera Zitto.
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.

Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.
 
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.

Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.
Kigoma, Lindi, Mtwara na Pemba 😂
 
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine

Zitto Kabwe amesema wao wanajifunza kwenye Dini yao Qur'an Sura 109:6

" Wewe unatumia muda zaidi kuhangaika na mambo yetu, sisi hatuna muda na mambo yenu. Kila mtu ashinde mechi zake " ameandika Zitto Kabwe ukurasani X

Mlale Unono 😄😄🔥
Zito ni ccm b au CCM vs ccm
 
Zitto atambue hawezi kufanya siasa bila kujipima na wengine, ndio maana wao ACT kila siku huwa wanaimba hawataki siasa za maandamano, wao wanataka siasa za kukaa mezani kutongozwa na mtawala.
Kwani bado wanatongozwa?
...si walishakubali?!
Huoni siku hizi ZItto akiwa na mama ana-smile tu!
 
Huyu mkongomani naye atulie tu ameshapewa jimbo
20240209_070737.jpg
 
Tatizo si nukuu ni wafuasi ndio hoja hapa.

Wafuasi wengi wa ACT na CUF ni waislamu hata maeneo ambayo vyama hivyo vinaushawishi ni maeneo yenye waislamu wengi.
Kama ni hivyo itakuwa Waislam itakuwa wanajielewa maana wapo upinzani
 
Back
Top Bottom