Mh. inambidi sasa anadilishe approach
Badala ya kuja na ORODHA ya title za vita alivyosoma aje na kutuonesha ni kwa namna gani vitabu alivyosoma vimeisaidia jamii yake au hata ye mwenyewe ikibidi. Hii ni kwa sababu, maarifa yasiyotumika ni sawa na Maarifa yasiyosikiwa.
Mwenzetu inatakiwa akusaidie maana hayo MAARIFA ameshayasikia sasa anayatumiaje???
Ingawa na mimi itanisaidia kujifunza tabia ya kusoma vitabu ila mi nasomaga biblia tu vingine naonaga longolongo tu