Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sio kweli kwamba lazima itekelezwe. Maana ni mipango mkakati na matarajio ya nini kifanyike. Wanasiasa wanachanganya watu sana. UsiwasikilizeNi lazima kwakuwa aliomba kwa miaka mitano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kwamba lazima itekelezwe. Maana ni mipango mkakati na matarajio ya nini kifanyike. Wanasiasa wanachanganya watu sana. UsiwasikilizeNi lazima kwakuwa aliomba kwa miaka mitano
Wananchi hawawezi kukuelewa maana umeshindwa timiza ulicho ahidi period? Hvi benki ukiomba mkopo wa Mil 10 ukipeleka 3 wanakuelewa? Mbona mnawaona waTZ wapumbavu sana? Au kisa hao wa Bariadi hawajui hata Ilani au mpango wa taifa ni kitu gani??Ok ni mpango wa taifa wa miaka mitano,kama umejitahidi kulingana na mazingira ya uchumi wa taifa lako umetekeleza nusu au robo tatu ya kile ulicho toa ahadi, kuna tatizo? Wananchi wanaulewa mkubwa kuwa makubwa yamefanyika kwa muda mfupi. Kwa hiyo miaka mingine mitano inatosha kumalizia kilichobaki. Hata uweke debate gani hautaeleweka. Kubali kuwa makubwa yamefanyika na Ccm imejitahidi sana.
Manifesto au Election manifesto? Naona na wewe unampotosha mwenzio. Election manifesto kwa TZ ndio inazaa mpango wa taifa wa miaka 5 ambao ndio unatumika kuandaa bajeti. Hata tume ya mipango ambayo Rais ndio mwenyekiti wanafanya maamuzi kulingana na ilani. So ni issue kubwa sana kuliko unavyoirahisisha hapa.Sio kweli kwamba lazima itekelezwe. Maana ni mipango mkakati na matarajio ya nini kifanyike. Wanasiasa wanachanganya watu sana. Usiwasikilize
Upo sawa kabisa, ni mpango wa taifa unaotumika kuandaa bajeti zetu kwa muda wa miaka mitano. Kulingana na hali halisi ya uchumi wa taifa letu. Uchumi ambao bado haujafikia hata upper income economy unadhani bajeti zetu zinaweza kutosheleza kila pesa inayokadiliwa kutumika kwa kila bajeti? Ndio maana tunakuambia kwa haya makubwa yaliyofanyika na hali ya pato la taifa letu, Ccm wanatakiwa pongezi kubwa. Maana ni kwa miaka minne tu, mambo makubwa na mabadiliko makubwa yamefanyika na kila mwananchi anakubali.Manifesto au Election manifesto? Naona na wewe unampotosha mwenzio. Election manifesto kwa TZ ndio inazaa mpango wa taifa wa miaka 5 ambao ndio unatumika kuandaa bajeti. Hata tume ya mipango ambayo Rais ndio mwenyekiti wanafanya maamuzi kulingana na ilani. So ni issue kubwa sana kuliko unavyoirahisisha hapa.
Sasa kama mlifahamu sisi tuna uchumi mdogo kwanini mnaahidi makubwa? Kwanini mna overestimate makusanyo? Kwanini mna estimate bajeti za trillion 30+ ilihali mnajua hamna uwezo huo? Mkifeli mnaanza kulalamika eti uchumi mdogo?Upo sawa kabisa, ni mpango wa taifa unaotumika kuandaa bajeti zetu kwa muda wa miaka mitano. Kulingana na hali halisi ya uchumi wa taifa letu. Uchumi ambao bado haujafikia hata upper income economy unadhani bajeti zetu zinaweza kutosheleza kila pesa inayokadiliwa kutumika kwa kila bajeti? Ndio maana tunakuambia kwa haya makubwa yaliyofanyika na hali ya pato la taifa letu, Ccm wanatakiwa pongezi kubwa. Maana ni kwa miaka minne tu, mambo makubwa na mabadiliko makubwa yamefanyika na kila mwananchi anakubali.
Thubutu, umeona vituo vya afya na Zananati vilivyojengwa huko pwani? Umeona shule zilizojengwa? Kwa mafia tu Mv mafia inatosha sana kuwapa kura Ccm.Maana kulikuwa na tatizo kubwa la usafiri Mafia. Hayo ni baadhi ya mambo yanayotosha kuwapa imani watu wa pwani kuichagua Ccm.Sasa kama mlifahamu sisi tuna uchumi mdogo kwanini mnaahidi makubwa? Kwanini mna overestimate makusanyo? Kwanini mna estimate bajeti za trillion 30+ ilihali mnajua hamna uwezo huo? Mkifeli mnaanza kulalamika eti uchumi mdogo?
Zitto akizunguka kuichambua ilani yenu ilivyofeli trust me hamuambilii hta kura moja, hasa watu wa pwani wakisikia mliahidi meli 5 alafu hamjapeleka hata robo!!!
Mkuu vitu kama afya ni basic walau mjisifie wakipata Bima walau 30% ya wakazi wote sio kujenga kituo mkuu!! Hyo ni basic lakini gharama ya matibabu bado ipo kwa mwananchi tofauti ni kasogezewa huduma tu. So vitu basic huwezi pigia kampeni kabisa.Thubutu, umeona vituo vya afya na Zananati vilivyojengwa huko pwani? Umeona shule zilizojengwa? Kwa mafia tu Mv mafia inatosha sana kuwapa kura Ccm.Maana kulikuwa na tatizo kubwa la usafiri Mafia. Hayo ni baadhi ya mambo yanayotosha kuwapa imani watu wa pwani kuichagua Ccm.
Budget ni Expenditure and collections estimates. Na kama kuna mapungufu kidogo mwambie Zitto asidhanie ndio sababu ya kupata credit za kisiasa.
Kweli ni vitu basic lakini vilikuwepo kwa ukaribu kwa wananchi wa pwani? Nafikiri lipo wazi kwa mazingira ya pwani kwa mikoa kama P wani na Lindi kwa serikali makini kipaumbele cha kwanza lazima iwe afya.Na ni muhimu sana kusogeza huduma za afya.Mkuu vitu kama afya ni basic walau mjisifie wakipata Bima walau 30% ya wakazi wote sio kujenga kituo mkuu!! Hyo ni basic lakini gharama ya matibabu bado ipo kwa mwananchi tofauti ni kasogezewa huduma tu. So vitu basic huwezi pigia kampeni kabisa.
Sasa ukijenga kituo ilihali vijana hawana ajira hyo hela ya matibabu anatoa wapi? Huwezi tatua issue moja ukasema inatosha ilihali mtu ana changamoto lukuki. Meli 5 za uvuvi zingeleta ajira direct elfu 6 hyo multiplier effect hta msingejenga Hospitali unadhani wangekosa hela ya kujenga wao wenyewe kupitia halmashauri zao zinazokusanya mapato?
Tuangalie issue za kuzungusha uchumi sio kuanzisha basic issues
Mkuu sijapinga kituo cha afya ni kitu kizuri sana nawapa pongezi lakini ni BASIC yaani ni sawa na mzazi kusomesha mwanaye haipaswi kuwa achievement bali a necessity. Yaani hya angekuja TLP au CHAUMMA issue kma Afya au shule ni lazima tu ajenge iwe kwenye ilani ama lah.Kweli ni vitu basic lakini vilikuwepo kwa ukaribu kwa wananchi wa pwani? Nafikiri lipo wazi kwa mazingira ya pwani kwa mikoa kama P wani na Lindi kwa serikali makini kipaumbele cha kwanza lazima iwe afya.Na ni muhimu sana kusogeza huduma za afya.
Huwezi ukasema Ununuzi wa meli za uvuvi na ujenzi wa bandari ya uvuvi ambayo ina gharama kubwa na wakati uliopo bajeti hairuhusu uwe wa kwanza. Kila kitu kinafanyika kwa wakati na kulingana na bajeti. Awamu hii ya pili Meli zitanunuliwa na bandari itajengwa. Na kusema eti watu binafsi wajenge vituo vya afya ni kama pata potea, hakuna nchi inaweza kuruhusu hayo.
Wewe msikilize Prof Kitila Mkumbo halafu umjibu kama una maji au mkavuZitto ametimiza nn Kigoma? Msimsikilize wakuu. Sawa?
Acha uhuni wewe ni mtu mzima.Wewe msikilize Prof Kitila Mkumbo halafu umjibu kama una maji au mkavu
Narudia tena kusisitiza kuwa nchi yetu mpaka sasa haijafika kwenye uchumi wa kati wa juu. Obvious hata bajeti yake itakuwa kuwa na mapungufu sababu hata pato la taifa bado halijakaa vizuri. Ila kujenga vituo vya afya, kununua meli 5 na kujenga fishing port vyote ni vipaumbele kwa taifa letu.Mkuu sijapinga kituo cha afya ni kitu kizuri sana nawapa pongezi lakini ni BASIC yaani ni sawa na mzazi kusomesha mwanaye haipaswi kuwa achievement bali a necessity. Yaani hya angekuja TLP au CHAUMMA issue kma Afya au shule ni lazima tu ajenge iwe kwenye ilani ama lah.
Inayonileta kwenye issue ya pili kwamba mliahidi meli 5 hamkujua kipaumbele ni afya hapo pwani? Hoja yangu ni kwanini mnaahidi mambo 100 alafu utekeleze 10 then hutaki tuhoji ahadi zingine eti kisa za muhimu zimefanyika? Ni kwanini kwenye ilani msiseme kabisa meli sio kipaumbele? Ili mnaponadi ilani watu wajue kabisa hata wakiwachagua issue ya meli inaweza isifike.
Kuliko hivi sasa mnanadi ilani ya page 300+ alafu msipotekeleza mnajificha kwenye utekelezaji wa ahadi za page 20 tu!!! Sidhani kama mnawatendea haki hao wananchi wa huko maporini.
Mtani inaonekana husomi mambo mengi hivyo unageuzwa mtaji wa CCM!! na mimi narudia tena ''The devil lies in the details''.Narudia tena kusisitiza kuwa nchi yetu mpaka sasa haijafika kwenye uchumi wa kati wa juu. Obvious hata bajeti yake itakuwa kuwa na mapungufu sababu hata pato la taifa bado halijakaa vizuri. Ila kujenga vituo vya afya, kununua meli 5 na kujenga fishing port vyote ni vipaumbele kwa taifa letu.
Lakini kulingana na gharama ya kipaumbele chenyewe ni wazi lazima uanze kugharamia kituo cha afya au zahanati alafu next time unaweza kuanza kutekeleza huo mradi wa kununua meli na kujenga fishing port.
Nakataa kuwa Act au Chadema wangefanya haya ya kujenga kituo cha afya kisa ni basics. Hapana haya yanayofanyika sasa ni good political will za kiongozi wa Ccm wa sasa.
Mfano hivi vituo vya afya vilivyojengwa katika kipindi hiki cha 2015-2020, vingelijengwa miaka ishirini iliyopita leo huo mradi unaokomalia wa meli ungetekelezwa kwa mwaka mmoja tu. Lakini kuna udhaifu wa kiutendaji ulisababisha mambo yakawa hovyo.
Kwa ufupi kila kinachowekwa kwenye ilani ya uchaguzi ni kipaumbele ila lack of enough budget fund ni tatizo.
Hivyo kwa haya mazuri amabayo yamefanyika kwa miaka hii minne na nusu. Ccm inatakiwa kupata big up.
Hamna alie kuzuia usihoji kwa nini hayatekelezwa yote. Hapana unaweza kuuliza lakini uliza huku ukijua kuahidi sio kosa. Maana unaweza ukaahidi na ukateleza yote. Au ukaahidi na ukatekeleza 80%. Lakini kikubwa ni mapungufu ya bajeti ndio tatizo la nchi kama Tanzania.
Kwanza naomba niweke wazi mimi sina kadi hata ya Ccm! Ila nazungumzia uhalisia wa mambo. Kwa hiyo siwezi kuMtani inaonekana husomi mambo mengi hivyo unageuzwa mtaji wa CCM!! na mimi narudia tena ''The devil lies in the details''.
Hayo masuala ya afya yapo kwenye sera ya Afya ya taifa na malengo ya ile sera kila kitongoji kiwe na Kituo kikubwa cha Afya. Fully fledged!! Kabisa, na hyo sera ipo hta kabla Mwenyekiti wenu hajapewa Urais na NEC!!
Anyway vitu basics sio vya kujisifia, Hvi ujisifie kwa kununua Michele na maharage kwa ajili ya familia? Hta angekuja Membe au Lissu ni lazima tu hizo basic amenities zifanyike tofauti ni vipaumbele tu ila hakuna shortcut nyingine!!
Inapaswa unadi sera kma Membe au Lissu kwa serious issues kma Bima ya afya,Hifadhi ya jamii,Kukuza kipato,Kilimo,ajira za vijana n.k ila kelele za madaraja na mabarabara hayana msaada wowote kuwaongezea kura sababu ni obvious issues afterall mnakata kodi hta REA tukinunua luku mnatukata!! Sasa mnatutishia vitu ambavyo ni basic?
Aargh
Huyu Zitto nae aache maneno mengi. Kwani ni lazima ilani ya uchaguzi ikamilike kwenye kipindi cha muhula mmoja? Haya yaliyofanyika kwa miaka minne na nusu yanayosha kuwapa Ccm miaka mingine. Kwani hizo meli tano za uvuvi zikinunuliwa awamu hii na hizo hekta laki tano zikapatiwa skimu za umwagiliaji awamu hii kuna tatizo? Hii ni nchi ambayo inapiga hatua huwezi kumaliza changa moto zote kwa mkupuo zitto junior