Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: CCM imeshindwa kutimiza ahadi zake za 2015


Unatumia nguvu kubwa kutetea kutokutekelezwa kwa ilani...

Unasema pesa hakuna wakati taarifa ya CAG ilionyesha upotevu wa 1.5Trilion na zikaongezeka kufikia 2T+..

Watu wanataka huduma Bora ya afya sio majengo ya Afya...
Hiyo meli unayoelezea sio ya uvuvi Ni ya usafiri..

Jitahidi utete na vipengele vingine sio hivyo viwili tu...
 
Nakushangaa kuleta habari za upotevu wa tril 1.5 wakati majibu yalipelekwa bungeni kuwa hakuna upotevu
Sijazungumzia masuala mawili hapo. Nizumgumzia kuimarishwa kwa sekta ya afya, elimu na miundo mbinu. Masuala kama usambazaji umeme vijijini sio mpaka uambiwe. Maana kila mtanzania anashuudia kwa macho yake.

Huduma nzuri za afya zitatolewa chini ya mti wa mwembe? Tafakari please.
Hicho kivuko ni cha abiria unadhani hakina multiplier effect kwa watu wa pwani?
 
Hakuna ilani ya uchaguzi ya miaka 10... Kumbe ht maana ya ilani ya uchaguzi ujui...

Ukweli Yale waliyo sema watafanyia hawajafanya.... Kumbe wanatudanganya ktk kampeni...
Acha kukurupuka,wewe ilani ni visions ya nini kitekelezwe ndani ya miaka mitano. Na hizi visions zinatekelezwa kulingana na pato la taifa. Kwa hiyo kusema tutanunua meli tano ndani ya miaka mitano na kujenga fishing port. Kama ndani ya miaka mitano bajeti haikutosha kuna tatizo gani kununua meli na kujenga fishing port awamu inayofuata?
 
Kabla hawajatimiza zilizopita, wanataka kuahidi zingine.
 
Wapi imeandikwa? Hizo ni proposals za nini kikelezwe ndani ya miaka mitano. Na kwa nchi kama hii ambayo inakutana na vikwazo kibao kama ufinyu wa bajeti kuna tatizo?

Ufinyu wa bajeti na wakati yapo Mambo yanafanyika pasipo kufuata Sheria na kutokuwepo ktk bajeti....
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa kiwanja Cha ndege Chato..... Hivi hizo ndege zitakusaidia Nini raia wa kawaida...
 

Una hoja unatapata tu...

Unatumia nguvu kubwa kujibu hoja moja Kati ya hoja nyingi alizotoa Zito... Jibu na hizo zingine
 
Ufinyu wa bajeti na wakati yapo Mambo yanafanyika pasipo kufuata Sheria na kutokuwepo ktk bajeti....
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa kiwanja Cha ndege Chato..... Hivi hizo ndege zitakusaidia Nini raia wa kawaida...
Maswali ya kitoto haya.
 

Hizi ndio sera zake huyu tapeli wa NSSF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…