Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

WaTanzania wameamua kwa masikitiko makubwa kuziba macho na masikio wakijifanya yote ni salama na kuna maisha baada ya uchaguzi na kuamua kulala usingizi wa pony huku wakijipoza na kitu kinachoitwa Social amnesia yaani 'funika kombe mwanaharamu apite' , wakisahau maneno ya Tundu Lissu kuwa hawa jamaa wakimalizana na watu huko Zanzibar na Pemba watakuja Tanganyika hata tukijidai vipi kusahau, kujisahulisha Haki, Uhuru na Maendeleo ya Watu.
Full article: Amnesia: Cultural Memory, Reconciliation, and Communal ...
26 Nov 2015 — The politics of cultural amnesia entails more than its common association ... rent by violence, cannot be recovered at a tolerable political and social price. ... Marxism and the Interpretation source : https://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1179/1477570015Z.000000000104?src=recsys&journalCode=ycas20
Creating a kind of mental metamorphosis or amnesia in those who prefer to “forget.” Amnesia or a distorted assessment
Remembering to Forget: Chosen Amnesia as a Strategy for Local Coexistence in Post-Genocide Rwanda . Source : Remembering to Forget: Chosen Amnesia as a Strategy for Local Coexistence in Post-Genocide Rwanda on JSTOR

17 January 2020

Kazuramimba, Kigoma​

DKT BASHIRU "SIASA ZA FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE ZIMEPITA/ATAKAYE KIHUJUMU CHAMA ATAKIONA"

Alafu kinaishije?
Mbona unaongea kama mtu ambae unashabikia kitu ambacho hukijui?

Ukiambiwa toa ela uchangie chama utatoa?

Mwisho wa siku mtawakosa watu wote muhimu kwenye chama just because mnataka kushindana na Serikali Tena serikali yenyewe ya JPM

USA wanayo tume huru ya uchaguzi na katiba mpya iliyotungwa 1620 lakini Trump bado analia. Tume huru bado haitaundwa na malaika ni binadamu tu tofauti ni jina moja tu HURU haina maana yoyote mwaka 2015 wapinzania walivuna wabunge wengi tu jee tume ilikuwa huru?
 
Unamuamini saana Zitto!

Hujiulizi, kwa nini alizuia ela za kuja kusomesha watoto wetu wakati wa kwake hawajulikani wapo "International skuli ipi" Bahati nzuri serikali ikafanikiwa kuzipata!
Mimi siko na hayo,niko nazungumzia watu waliouwawa Zanzibar!
 
Wengine walishasema 20. Hivyo tulishawazoea kwa propaganda hukumbuki Zitto alishasema wafugaji zaidi ya 100 waliuawa Kigoma akapelekwa mahakamani akashindwa kutoa ushahidi wa madai yake hivyo akapatikana na hatia. Hivyo Zitto tulishamzoea na propaganda zake. Hakuna kipya hapo.
 
Swafi sana.
20201108_174412.jpg
 
Zitto siyo wakumwamini hata chembe!
Majina ya waliouwawa na umri vimetajwa!Jeshi la polisi likanushe kama watu hao hawajauwawa!
Hao ni watanzania wenzetu!Kwanini kila uchaguzi Bara inatuma jeshi visiwani kwenda kuuwa watu?
 
Majina ya waliouwawa na umri vimetajwa!Jeshi la polisi likanushe kama watu hao hawajauwawa!
Hao ni watanzania wenzetu!Kwanini kila uchaguzi Bara inatuma jeshi visiwani kwenda kuuwa watu?
Tunajuaje labda wamekufa kwa kifo cha kawaida wala si cha kupigwa risasi.
 
USA wanayo tume huru ya uchaguzi na katiba mpya iliyotungwa 1620 lakini Trump bado analia. Tume huru bado haitaundwa na malaika ni binadamu tu tofauti ni jina moja tu HURU haina maana yoyote mwaka 2015 wapinzania walivuna wabunge wengi tu jee tume ilikuwa huru?
Ukiona rais aiyeko madarakani ndo anaia kuibiwa kura, basi ujue system ya uchaguzi iko njema barabara, yaani iko gado!
 
Tunajuaje labda wamekufa kwa kifo cha kawaida wala si cha kupigwa risasi.
Umepewa taarifa kuwa wamepigwa risasi na majina yametajwa!Kwanini unakimbilia kukanusha badala ya kutafuta ukweli?
Binafsi nimeona picha mbili za waliouwawa,ila JF wamezifuta!

Kwanini sasa usidai majibu kutoka jeshi la polisi?Kwanini wasije kusema hao wamekufa kwa malaria au labda wamejipiga risasi wenyewe?
Hujaona mansur alivyopigwa mpaka kuvunjwa vunjwa mguu na michubuko mgongoni?

Hao ni watanzania wenzenu!
 
Taarifa zilizotolewa hapo awali Mazrui pamoja na wale vijana 32 walikamatwa na mabomu!
 
Taarifa zilizotolewa hapo awali Mazrui pamoja na wale vijana 32 walikamatwa na mabomu!

Sawa,mtu akikamatwa na mabomu huwa ni kuvunjwa miguu na mikono?Tunajua jeshi letu,huwa wakikamata watu na silaha wanawahi kuita vyombo vya habari na kuonesha walichokamata!Umeyaona hayo mabomu?

Watu wamekufa kweli zanzibar,majeraha ya risasi yameonekana na picha tumeziona!Kwanini jeshi halitoi ufafanuzi?Kwanini kila uchaguzi Zanzibar wanauwawa?
 
Unafurahi kwa gari la mwendakasi kuungua?? Hujui kuna watz wengi wanategemea usafiri huo? Ndiyo maana watz wanawaadhibu kwenye kupiga kura. Najua wewe ni mtangaza vifo, wamekufa wa ngapi kwenye ajali hiyo G Sam?
Hawa ni wahujumu-nchi SERIAL, kwa fikra, maneno na kila tendo. Bure kabisa. Ndiyo maana raia waliwakataeni kwenye sanduku la kura na maandamano uchwara.
 
Sawa,mtu akikamatwa na mabomu huwa ni kuvunjwa miguu na mikono?Tunajua jeshi letu,huwa wakikamata watu na silaha wanawahi kuita vyombo vya habari na kuonesha walichokamata!Umeyaona hayo mabomu?
Watu wamekufa kweli zanzibar,majeraha ya risasi yameonekana na picha tumeziona!Kwanini jeshi halitoi ufafanuzi?Kwanini kila uchaguzi Zanzibar wanauwawa?
Mkuu ukikamatwa na silaha tena mabomu!! Wewe ni wakufa tu tena washukuru Mungu kama hawakupigwa za kichwa! Eti ukamatwe na mabomu lazima utakuwa gaidi unatakiwa kupigwa ya kichwa tu no way!
 
Acheni kuwalaumu Wabunge kwenda kujiandikisha.

Mwaka 2015 aliuawa Alphonce Mawazo lakini Wabunge wa Upinzani walienda Bungeni.
Mkuu wabunge wanajiandikisha mini tena?.
Sijakuelewa.
 
Mkuu ukikamatwa na silaha tena mabomu!! Wewe ni wakufa tu tena washukuru Mungu kama hawakupigwa za kichwa! Eti ukamatwe na mabomu lazima utakuwa gaidi unatakiwa kupigwa ya kichwa tu no way!

Ndio sheria zetu zinasema hivyo?Huoni kuwa ninaweza kutumia mwanya huo kuteketeza maadui zangu kwa kuwaua na kisha kuweka mabomu na kusema nimewakuta nayo ndio maana nimewaua?

Hukusikia ile kesi ya askari kuwaua wafanyabiashara ya madini kisha kuwapora na baadae kusingizia kuwa ni majambazi?

Ndio maana sheria zetu zinatambua mahakama kama muhimili wa kutoa haki ili kuepusha mwanya huo!

Hapa unachoshabikia ni uvunjwaji wa sheria!Mahaba yako kwa chama chako yamekutoa utu kabisa!Its a shame!
 
Back
Top Bottom