johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nafikiri kuna haja Kinana,Nape na January wakamatwe,haya mambo huwa yanakuwepo wakiwa tu hawapo kwenye uongozi....Mama Samia chukua huu ushauri na uufanyie kazi...Zitto kama mpambe wao hapa anatumika kuchochea mamboZitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa
Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake
Hakuna Taifa Bila Watu
Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika
Aisee hata kama nikujitoa ufahamu..
Nadhani na mtoto wake Abdul naye akamatwe. CDM na ACT Wazalendo wajiunge na kumgomea huyu mama. Inakera sana.Nafikiri kuna haja Kinana,Nape na January wakamatwe,haya mambo huwa yanakuwepo wakiwa tu hawapo kwenye uongozi....Mama Samia chukua huu ushauri na uufanyie kazi...Zitto kama mpambe wao hapa anatumika kuchochea mambo
Watakamatwa bila sababu, lazima wawe connected. Lakin hata hivyo situpilii mbali huenda kuwa yanafanyika ili kumuondolea credibility kwenye jamiiNafikiri kuna haja Kinana,Nape na January wakamatwe,haya mambo huwa yanakuwepo wakiwa tu hawapo kwenye uongozi....Mama Samia chukua huu ushauri na uufanyie kazi...Zitto kama mpambe wao hapa anatumika kuchochea mambo
Kwa hiyo inakubalika watu kuuwawa?Mnafiki mkubwa huyu
Na yeye yupo kimya kama haoni wala hasikii.Watakamatwa bila sababu, lazima wawe connected. Lakin hata hivyo situpilii mbali huenda kuwa yanafanyika ili kumuondolea credibility kwenye jamii
Hilo umesema weweKwa hiyo inakubalika watu kuuwawa?
Utekaji ni njia zilizoshindwa awamu iliyopita sijui kwanini tena watu wameamua kurudi kule kule tulipotokaHuu utekaji unaoendelea Kuna roho inatafutwa ya kiongozi mkubwa....nimewaza TU.
Unafiki wake upo wapi? Kuweni na hekima. Zito amezungumza kauli ya msingi kabisa, halafu wewe unakuja na kauli za kipuuzi.Mnafiki mkubwa huyu
Shetani hawezi kuacha uovu. Kwake uovu ndiyo imani yake. Utekaji na uuaji ni uovu. CCM ni shetani. Huu uovu hautaisha mpaka siku CCM itakapoondolewa na kufutika kabisa, na wana wa nchi kuamua kuotengeneza nchi upya kwa namna itakayoupa utu thamani.Utekaji ni njia zilizoshindwa awamu iliyopita sijui kwanini tena watu wameamua kurudi kule kule tulipotoka
Kuna siku utaelewa unafiki wa Zitto..Unafiki wake upo wapi? Kuweni na hekima. Zito amezungumza kauli ya msingi kabisa, halafu wewe unakuja na kauli za kipuuzi.
Tuheshimu, tulinde na kuthamini uhai wa wenzetu kama ulivyo wa kwetu.
Hata kama watu watatofautiana katika itikadi lakini linapokuja suala la uhai wa binadamu, ni lazima tuangana, kuyaacha mashetani mauaji pekee yao, na ndiyo yageuke kuwa maadui yetu sote.
Tunataka kusikia kauli ya Rais Samia, maana yeye alisema kuwa watu hawatekwi, atuambie marehemu alitekwa au alijiteka?
Huko nje yupo "Mchungaji" Lusekelo.
ACT-WAZALENDO bado hawajafikia kiwango cha kuitikisa CCM