Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa

Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake

Hakuna Taifa Bila Watu

Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika
Haivumuliki wapi mjomba mbona inavumilika tu kwani ni mtu wa ngapi huyo kutekwa na nchi nzima tuko tuli kama maji ya mtungini,utulivu ndio jadi yetu hatujui kukasirika kabisa ila tunajua kubwabwaja tu.Siasa zetu ni za kisanii tu.
 
Back
Top Bottom