Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

Mlisema Magufuli anaua watu na kuteka vp mnasemaje?
Ukiangalia Zitto, Mbowe, upinzani kwa ujumla na wengine walikemea sana utawala wa Magufuli, sasa hivi ni kama wana kigugumizi yanayofanyika ni zaidi ya JPM time.
 
Utekaji ni njia zilizoshindwa awamu iliyopita sijui kwanini tena watu wameamua kurudi kule kule tulipotoka
Siku ukiacha unafiki na chuki juu ya JPM ataelewa!
Mlimsagia sana kunguni nyinyi CHADEMA na baadhi ya CCM kuwa ni mtawala mbaya kumbe hamna!
Utekwaji upo miaka yote hata wakati wa Kikwete Dr Ulimboka alitekwa!
Punguza ujinnga na ujuaji!
 
Ukiangalia Zitto, Mbowe, upinzani kwa ujumla na wengine walikemea sana utawala wa Magufuli, sasa hivi ni kama wana kigugumizi yanayofanyika ni zaidi ya JPM time.
Kipindi kile ilikuwa ni Agenda kabisa JPM achafuke ndo maana Dr Slaa alisema CHADEMA mpaka walikuwa wanajiteka nk!
Lililiwepp kundi ndani ya Upinzani na CCM halikumpenda JPM likishinikizwa na wanaharakati wa wa haki za biinadamu wakiongozwa na Bi Kijobi Simba na Olengurumwa!
Jiulize Wamasai wanavyoteseka saizi na issue ya Ngorongoro ingekuwa wakati wa JPM kilio kisingekuwa cha kawaida!
Sasa hawa hawa walishirikiana na MaCCM kumchafua JPM kwa kila tukio kuwa yeye na watu wake wanapanga mauaji leo baada ya JPM kutoka wamesalitiana!
Hata saizi huwezi kumsikia Mbowe au Lema au Mwanaharakati yeyote akimtaja Samia kama muhusika ila wanataja vyombo wa ulinzi na usalama ila kipindi cha JPM wimbo ulikuwa JPM dicteta Uchwara!
Huyu Zitto ndo alikuwa anamchukia JPM kila leo kutoa ukosoaji ila saizi huwezi kumsikia maana kuna kiongozi wa dini yake!
Tatizo la nchi hii ni Udini,Ukabila na ujinga na akitokea kiongozi mzuri kama sio dini au Kabila lako basi hafai!
 
Zitto kawakosea nini tena?....acheni na yeye akemee hii dhuluma ya uhai inayoendelea maana akibaki kimya mtamshambulia tena zaidi.
Ingawa amefanya vizuri.. nimeshtuka nini kimebadilika maana matukio yako zaidi ya mitatu sasa na alikuwa kimya. Hata juzu nilimsema kwa hili.
 
Tangu nione taarifa ya kifo cha Mzee Kibao mwili, akili na roho vyote vimekufa ganzi.
 
Mkuu hapa umeandika uongo. Kwamba hilo kundi lilimchafua jpm na tanpol, jwtz, tiss wakaacha tu hivyo hivyo?

Una lengo la kumtetea jpm lkn usitake kuaibusha vyombovyetu.
 
Mi nakwambia ni bora kiongozi aliye real! Wanajificha kwenye unyenyekevu wa kinafiki dani ya makoti!
JPM was real lakini Samia haeleweki anajifanya mwema mara mkali na alipoingia alitaka kumprove wrong Magufuli kwa kila kitu sasa ameangukia pua!
Maana hata yeye anaweza kuwa alikuwa anajua watu wote waliokuwa wanamwekea majungu JPM ila alijua kwa vile kaingia basi nchi Imetulia!
 
 
Well Noted Mkuu
 
Nafikiri kuna haja Kinana,Nape na January wakamatwe,haya mambo huwa yanakuwepo wakiwa tu hawapo kwenye uongozi....Mama Samia chukua huu ushauri na uufanyie kazi...Zitto kama mpambe wao hapa anatumika kuchochea mambo
Aisee embu ngoja kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…