Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe

"Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa na makubaliano yatakayofikiwa ndani ya miezi 12. Tunaweza kuboresha na kufaidika iwapo tukiamua. Tazama A GLASS HALF FULL sio A GLASS HALF EMPTY"

"Kampuni ya uendeshaji wa Bandari itakayoundwa Kwa Mujibu wa Makubaliano ya Tanzania na Dubai imilikiwe Sawa kwa Sawa kati ya DP World na TPA. Wao wana Fedha na teknolojia, Sisi tuna Bandari. Tuunde 50-50 JV. Tukijenga uwezo wetu wa ndani tutaweza kuwanunua na tukawa 100%. Tulifanya hivyo Uwanja wa KIA. Pale KIA tulikodisha kwa Kampuni ya Afrika Kusini na Uingereza. Baadaye Serikali ikachukua Hisa na hatimaye KADCO sasa inamilikiwa na Serikali. Uendeshaji wa Huduma za Bandari ( operatorship ) unaweza kufanywa na Sekta Binafsi (rejea msimamo wa kisera wa ACT Wazalendo ktk picha ). Mamlaka ya Bandari kisheria ni LANDLORD. Njia sahihi kwa Bandari ya Dar ni Kampuni ya Uendeshaji kumilikiwa 50-50 kati ya TPA na Mwekezaji!"

"Tunaweza kujadiliana kwa staha. Huna sababu kuhamaki na kuita Watu majina mabaya. Kilichopitishwa na Bunge ni Azimio ya Ushirikiano baina ya Nchi Mbili ambalo lisipotekelezwa kwa miezi 12 litajifia. Azimio lina matobo mengi ambayo ni muhimu yazibwe kwa Serikali yetu kutaka ‘addendums’. Jambo muhimu na kubwa ni kuwa kuna Mkataba wa Uwekezaji (HGA) Hata majadiliano bado na huu ndio haswa utakaoamua aina ya Uwekezaji utakaofanyika. Huo Ndio utaunda Kampuni hapa nchini ambayo Ndio itaingia hayo makubaliano ya kuendesha Bandari. Hapo ndipo tunapaswa kutaka umiliki Sawa wa Kampuni hiyo ya uendeshaji. Ni muhimu Sana katika masuala mazito kama haya kutofautisha UKWELI na HISIA. Feelings Hata Mbwa anazo. Mwanadamu anafanya maamuzi kwa kutazama FACTS. Hata hivyo, ninatambua, ninaelewa na ninathamini FEELINGS zako na za wengine katika jambo hili. Bahati mbaya Mie sio mtu anayetazama mambo kwa hisia bali natazama mambo kwa ukweli."

Tapeli huyo , usanii mtupu
 
Huyu jamaa anaita watu Mbwa??

Hiyo ishu ya JV ni wazo au ndio msimamo wa Serikali??
 
Wana. Miezi 12 ya wao kutazama (assessment) na sisi kutazama (assessment) kabla ya kuingia mikataba rasmi ya uendashaji, nu lazima kila mmoja aangalie maslahi yake.

Ni. Win win win situation.

Ushindi kwetu, usshindi kwa DP World , ushindi kwa watumiaji wa bandari.
Afrika hamna win win situation kaa kwa kutulia.
 
Strange!, Kwa hiyo wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote waliotoa mawazo yao ni wajinga? Lisu, Fatma, TLS, na wengine hawajui maana ya hizo terminologies za Concession agreement, HGA and the like?
Mabomu hayo.

Kuna mwanasiasa wa maana duniani anaingilia siasa? Fikiri.
 
95% ya waislam ni wanafiki sana hasa kiongozi akiwa Muslim mwenzao watamtetea,ngoja sasa kiongozi awe Mkristo uone.

Hapo zitto akili yake yote imejaa udini tu,ameona aliyeshika mpini ni Muslim mwenzake na wawekezaji nao ni Muslims wenzao,basi anajilopokea tu.
 
Watu wameshapewa Exclusive right kwenye mkataba wa MSINGI za kumanage na kuoperate bandari halafu wewe unaleta habari za eti tuanzishe kampuni ya Fifty-Fifty?, Mwekezaji hayuko binded na sisi kufanya hayo. Mkataba MAMA unazungumza kuwa chetu ni Kodi, Na tozo mbalimbali hapo bandarini ila haujatamka mahali popote kuhusu SHARES.
 
95% ya waislam ni wanafiki sana hasa kiongozi akiwa Muslim mwenzao watamtetea,ngoja sasa kiongozi awe Mkristo uone.

Hapo zitto akili yake yote imejaa udini tu,ameona aliyeshika mpini ni Muslim mwenzake na wawekezaji nao ni Muslims wenzao,basi anajilopokea tu.
Tatizo lenu tulishalijuwa, ni "kwa nini Waislam waweze sisi tushindwe".

Hakuna zaidi.

Magufuli alikataa kuwapa wote miradi mikubwa akawapa waislam, Yepi Uturuki na Arab contractor Egypt.

Jiulize kwanini?
 
Strange!, Kwa hiyo wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote waliotoa mawazo yao ni wajinga? Lisu, Fatma, TLS, na wengine hawajui maana ya hizo terminologies za Concession agreement, HGA and the like?
Mkuu, kwa hiyo umetuona wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote hatuwezi kuelewa mpaka uweke msisitizo mreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu kiasi hicho?
 
95% ya waislam ni wanafiki sana hasa kiongozi akiwa Muslim mwenzao watamtetea,ngoja sasa kiongozi awe Mkristo uone.

Hapo zitto akili yake yote imejaa udini tu,ameona aliyeshika mpini ni Muslim mwenzake na wawekezaji nao ni Muslims wenzao,basi anajilopokea tu.
Wewe hujui
Tofauti
Ya muislam na mswahili wacha nikuache na ujuha wako
Period
 
Strange!, Kwa hiyo wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooote waliotoa mawazo yao ni wajinga? Lisu, Fatma, TLS, na wengine hawajui maana ya hizo terminologies za Concession agreement, HGA and the like?
Tafadhali usidanganye, msikilize Fatma kasema nini:

Ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe

"Azimio sio Mkataba wa uendeshaji (concession agreement) wala sio Mkataba wa Uwekezaji (HGA). Azimio la Bunge ni ruhusa tu ya kuanza kujadiliana hiyo mikataba mingine. Azimio hili litakufa kibudu pasipokuwa na makubaliano yatakayofikiwa ndani ya miezi 12. Tunaweza kuboresha na kufaidika iwapo tukiamua. Tazama A GLASS HALF FULL sio A GLASS HALF EMPTY"

"Kampuni ya uendeshaji wa Bandari itakayoundwa Kwa Mujibu wa Makubaliano ya Tanzania na Dubai imilikiwe Sawa kwa Sawa kati ya DP World na TPA. Wao wana Fedha na teknolojia, Sisi tuna Bandari. Tuunde 50-50 JV. Tukijenga uwezo wetu wa ndani tutaweza kuwanunua na tukawa 100%. Tulifanya hivyo Uwanja wa KIA. Pale KIA tulikodisha kwa Kampuni ya Afrika Kusini na Uingereza. Baadaye Serikali ikachukua Hisa na hatimaye KADCO sasa inamilikiwa na Serikali. Uendeshaji wa Huduma za Bandari ( operatorship ) unaweza kufanywa na Sekta Binafsi (rejea msimamo wa kisera wa ACT Wazalendo ktk picha ). Mamlaka ya Bandari kisheria ni LANDLORD. Njia sahihi kwa Bandari ya Dar ni Kampuni ya Uendeshaji kumilikiwa 50-50 kati ya TPA na Mwekezaji!"

"Tunaweza kujadiliana kwa staha. Huna sababu kuhamaki na kuita Watu majina mabaya. Kilichopitishwa na Bunge ni Azimio ya Ushirikiano baina ya Nchi Mbili ambalo lisipotekelezwa kwa miezi 12 litajifia. Azimio lina matobo mengi ambayo ni muhimu yazibwe kwa Serikali yetu kutaka ‘addendums’. Jambo muhimu na kubwa ni kuwa kuna Mkataba wa Uwekezaji (HGA) Hata majadiliano bado na huu ndio haswa utakaoamua aina ya Uwekezaji utakaofanyika. Huo Ndio utaunda Kampuni hapa nchini ambayo Ndio itaingia hayo makubaliano ya kuendesha Bandari. Hapo ndipo tunapaswa kutaka umiliki Sawa wa Kampuni hiyo ya uendeshaji. Ni muhimu Sana katika masuala mazito kama haya kutofautisha UKWELI na HISIA. Feelings Hata Mbwa anazo. Mwanadamu anafanya maamuzi kwa kutazama FACTS. Hata hivyo, ninatambua, ninaelewa na ninathamini FEELINGS zako na za wengine katika jambo hili. Bahati mbaya Mie sio mtu anayetazama mambo kwa hisia bali natazama mambo kwa ukweli."

Mr Zit na fursa ni kitu bee zinalala pamoja!!
 
Zito nindugu yao kasoro kilemba... Hawajasema wanataka kuunda kampuni tanzu wao wanakusaidia eneo Fulani...naona Toka iundiwe twiga mnadhani kilamtu atataka kuunda kampuni jipya labda kama niweziwezi wajanja maana humo twigani Kabali ninyingi huku ukiaminishwa unahaki sawa!!! Nsungu anaijua dhuluma kubwa kabla sisi hatujajua hata umuhimu wa choo
 
Tatizo lako kilemba?

Maridhiano ni mema sana, kwa atayeyasoma vizuri.
 
Yah... Ukiwa wa kilemba siyo lazima uielekeze nchi Kwa wanavilemba wenzio wasio na tija kwetu!!! Biashara tufanye nawatu wanaonunua vyetu,wanaotukopesha na pengine kutusaidia!! Mfano Canada wanasaidia maeneo kama elimu, madaktari,malaria, dawa za Hiv,watalii na wanatupa hadi kondom zakutosha tunapeana majoto...sasa hao wavilemba wanatupa Nini? Labda majn... Wapotee huko hatuwafagilii sijawahi ona kitu Kwa msaafa wa Dubai ndomana hata shule za diniyao niduuuni vibaya!!! Hawatupendiii Sasa sisi wanini? wapotee!!!!
 
Yah... Ukiwa wa kilemba siyo lazima uielekeze nchi Kwa wanavilemba wenzio!! Biashara tufanye nawatu wanaonunua vyetu,wanaotukopesha na pengine kutusaidia!! Mfano Canada wanasaidia malaria, dawa za Hiv, wanatupa hadi kondom zakutosha sasa hao wavilemba wanatupa Nini? Labda majn...
Wajinga ndiyo waliwao.

Wanakupa Nyerere Dam.
 
Back
Top Bottom