Zitto Kabwe: Iundwe Kampuni ya Uendeshaji wa Bandari, TPA na DP World ziwe na Umiliki Sawa (50/50), Azimio sio Mkataba wa Uendeshaji

Iyo Nyerere dam umepewa? Unaongelea makaratasi??? Kipi kingine cha maana waliwahi kukupa?? Usituaminishe shule ulisomea ujinga
Wamekupa kikubwa sana kuliko vyote.

Wamekupa ustaarabu.

Unajuwa kinyume cha ustaarabu ni nini?
 
Wamekupa kikubwa sana kuliko vyote.

Wamekupa ustaarabu.

Unajuwa kinyume cha ustaarabu ni nini?
Kwamba WAAFRIKA tulikuwa sio wastaarabu? Waliuleta Hawa wanavilemba? Tamaduni zetu zilikuwa za kishenzi?
Mbona sijakuonaga na hoja ziro hivi au umehakiwa??
 
Zitto simuelewi kabisa!
Hapo anauma na kupuliza tu, akizunguka mbuyu.

Amesena Azimio sio mkataba, ok; basi hao DP wakae mbali na hiyo bandari yetu kwanza mpaka kwa tumalize kujadiliana "kistaarabu".
 
Zitto simuelewi kabisa!
Hapo anauma na kupuliza tu, akizunguka mbuyu.

Amesena Azimio sio mkataba, ok; basi hao DP wakae mbali na hiyo bandari yetu kwanza mpaka kwa tumalize kujadiliana "kistaarabu".
km ulikimbia shule utaelewaje. Ulishaambiwa ujinga nia adui
 
Kama azimio sio mkataba mbona waarabu walishaanza utekelezaji tangu October 2022?

Zitto ni wakala wa shetani, wanahangaika kuficha udhalimu aliotufanyia Samia.
ule uovu uliofanywa na mzee wenu wa legacy unauonaje
 
acha udini we fala
 
Azimio kivipi wakati ni makubaliano ya ovyo kwa upande wa tanzania. Tunawajua hawa. Wamekubaliana halafu wanajidai 3ti ni maazimio. Wanafanya raia w tanzania wajinga.
 
Ujumbe umekuingia.
Upi Sasa... Shida unapigania dini siyo ukweli!!! Kahujui tofauti na mazungu yaliyo maovu yenyewe yanafanya uchafu wazi hawa waovu wao wanafanya Kwa vificho sana... Ukiwa bwege utaamini wao wote ni wasafi kumbe pyeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…