Zitto Kabwe: Iundwe Tume ya Majaji kupokea malalamiko ya watu walioteswa, kuumizwa, kubambikiwa kesi, n.k

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kaandika hivi kupitia twitter:

Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
 
Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.

Huwezi kusikia hao wanaharakati uchwara wakihoji hivi [emoji6]. Kuna malengo flani flani kwa kushirikiana na wana CCM wenye hasira na utawala uliopita [emoji6]
 
Nampongeza sana mama Samia kaanza vizuri! Namshauri asiishie hapo bali aende mbali zaidi aondoe ile kinga ya kutoshtakiwa Rais kwa makosa aliyotenda akiwa madarakani! Na kama hataliona hili basi kinachoendelea sasa kwa Sabaya ni unafiki wa kiwango cha lami!
 
Mwenyekiti awe Jaji mstaafu mh Mihayo!
Mihayo nae anatakiwa kushtakiwa,yeye ndio alikuwa engine ya Jiwe kuhusu sheria zote kandamizi zilizotungwa na kupitishwa wakati wake. Sheria zote za Kidekteta alieziandaa ni Jaji Mihayo,huyu ana mikono iliyojaa damu,kuporwa haki za watu na uchafu wote wakati wa Jiwe,na alifanya yote kwa sababu ya Ukabila na malipo ya hela na maelfu ya Viwanja na mashamba alipewa na Jiwe. Kuna Uzi wake maalumu nauandaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.

Huwezi kusikia hao wanaharakati uchwara wakihoji hivi [emoji6]. Kuna malengo flani flani kwa kushirikiana na wana CCM wenye hasira na utawala uliopita [emoji6]
Mataga naona unateseka,tunaanzia tulipoishia,full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Naunga mkono hoja. Iundwe haraka sana na ianzie nyuma sana kwa uovu wote uliotendwa.
 
Tuanze alipoishia Beni mpaka kwa msoga na kuendelea.

Akina ulimboka, mauaji ya gesi mtwara, mwangosi, mabomu Arusha, uvamizi wa vituo vya polisi, nk...

Bwana yule wa Msoga ashitakiwe kwa ufisadi alioufanya mpaka nchi ikabaki mifupa mitupu.

Ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya ofisi, escrow, uzembe na udhaifu.

Tukimaliza hapo tuje kwa Magufuli.
 
Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.

Huwezi kusikia hao wanaharakati uchwara wakihoji hivi [emoji6]. Kuna malengo flani flani kwa kushirikiana na wana CCM wenye hasira na utawala uliopita [emoji6]
Si 1995 tu, tusiweke mipaka. Muhimu ni kuwepo ushahidi. Hata uovu wa nyuma zaidi uangaliwe.
 
Naunga mkono hoja. Iundwe haraka sana na ianzie nyuma sana kwa uovu wote uliotendwa.
Naam, hakuna jiwe litakalosalia.

Yule dhaifu wa msoga sidhani kama atapona.

Kwa jinsi alivyokuwa mzembe na mvivu kazini, nafikiri HATI YA MASHITAKA dhidi yake inaweza kuchukua kurasa kumi na tano.

Ufisadi, wizi, mauaji, matumizi mabaya ya ofisi, uzembe, uvivu, udhaifu.

Alichokuwa anakiweza ni kutumbua keki ya taifa na kuzurura ulaya kwenye mabembembea ya wazungu.

I wish i could be IGP.
 
Oneni hili jamaa la msoga linabembea kwenye matoroli ya wazungu....

IMG-20210606-WA0005.jpg
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Awamu ya #jiwe au awamu zote?
 
Back
Top Bottom