Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Awamu zote itapendeza zaidi. Ona mwangosi alivyopigwa bomu hapa...Awamu ya #jiwe au awamu zote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu zote itapendeza zaidi. Ona mwangosi alivyopigwa bomu hapa...Awamu ya #jiwe au awamu zote?
Tume ili zipigwe hela. Na delilah ataingia kichwa kichwaKaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Tuanzie awamu iliyopita halafu tuende nyingineAwamu zote itapendeza zaidi. Ona mwangosi alivyopigwa bomu hapa...View attachment 1810444
Siwashangai, hizi kelele zenu za muda tu maana hamna ajenda, mkianza kulialia tutakuwa tunawaangalia tu. Wengine tulishachoka drama zenu!
Utafukuaje Makaburi ya kaleTusibague awamu maana wote ni walewale
Jinai haina ukomo.Utafukuaje Makaburi ya kale