Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Mmh yule hafaiMwenyekiti awe Jaji mstaafu mh Mihayo!
Nampongeza sana mama Samia kaanza vizuri! Namshauri asiishie hapo bali aende mbali zaidi aondoe ile kinga ya kutoshtakiwa Rais kwa makosa aliyotenda akiwa madarakani! Na kama hataliona hili basi kinachoendelea sasa kwa Sabaya ni unafiki wa kiwango cha lami!Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Mihayo nae anatakiwa kushtakiwa,yeye ndio alikuwa engine ya Jiwe kuhusu sheria zote kandamizi zilizotungwa na kupitishwa wakati wake. Sheria zote za Kidekteta alieziandaa ni Jaji Mihayo,huyu ana mikono iliyojaa damu,kuporwa haki za watu na uchafu wote wakati wa Jiwe,na alifanya yote kwa sababu ya Ukabila na malipo ya hela na maelfu ya Viwanja na mashamba alipewa na Jiwe. Kuna Uzi wake maalumu nauandaa.Mwenyekiti awe Jaji mstaafu mh Mihayo!
Mataga naona unateseka,tunaanzia tulipoishia,full stop.Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.
Huwezi kusikia hao wanaharakati uchwara wakihoji hivi [emoji6]. Kuna malengo flani flani kwa kushirikiana na wana CCM wenye hasira na utawala uliopita [emoji6]
Naunga mkono hoja. Iundwe haraka sana na ianzie nyuma sana kwa uovu wote uliotendwa.Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Si 1995 tu, tusiweke mipaka. Muhimu ni kuwepo ushahidi. Hata uovu wa nyuma zaidi uangaliwe.Hii kazi ianze 1995 ili twende sawa. Wahojiwe akina kubenea, kibanda, Ulimboka, waathirika wote wa mabomu Arusha, mauaji ya Wapemba uchaguzi wa 2000 na kuendelea. Tusibague awamu maana wote ni walewale iwe ni awamu ya JPM au yeyote.
Huwezi kusikia hao wanaharakati uchwara wakihoji hivi [emoji6]. Kuna malengo flani flani kwa kushirikiana na wana CCM wenye hasira na utawala uliopita [emoji6]
Naam, hakuna jiwe litakalosalia.Naunga mkono hoja. Iundwe haraka sana na ianzie nyuma sana kwa uovu wote uliotendwa.
kwanini tusianzie enzi za kuokota maiti baharini ?Naunga mkono hoja. Iundwe haraka sana na ianzie nyuma sana kwa uovu wote uliotendwa.
Ianzie hata wakati wa Nyerere, muhimu ushahidi uwepo. Otherwise itakuwa witch-hunt.kwanini tusianzie enzi za kuokota maiti baharini ?
Awamu ya #jiwe au awamu zote?Kaandika hivi kupitia twitter:
Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Hafai hatakuwa tayari kufukua makaburi.zaidi ata ya jengea zege na kuweka nondo za kutosha.Mwenyekiti awe Jaji mstaafu mh Mihayo!