Iundwe Tume ya Majaji itakayoongozwa na Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa kupokea malalamiko ya Watu wote walioumizwa, kuteswa, kubambikiwa kesi, kuporwa Mali zao, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa nk. Haki itendeke.
Siwashangai, hizi kelele zenu za muda tu maana hamna ajenda, mkianza kulialia tutakuwa tunawaangalia tu. Wengine tulishachoka drama zenu!
Kwasasa mnataka mpoze hasira kwa utawala uliopita lakini ajenda yenu kuu ni Rais aliye madarakani! Hata mama Samia ajenda zenu zikiisha mtarudi kwa utawala wake.
Uzuri DJ aliyeko huko CCM anawajulia mno! Keep dancing [emoji1739]