Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hahaha Yani unajipima Kwa mtu aliefeli badala ujipime na mtu mwenye mafanikio!...Zito ameonge ukweli Hana chembe ya unafiq ila kama Brain Yako kisoda lazima utoe povu.
Kauli ya zito kwa wale wasio elewa ana maanisha: Kama Algeria na Ghana wamewekeza mamilioni ya shilingi katika soka tena kwa miaka mingi Bado wame feli.
Sisi ambao kwa asilimia kubwa tuna vituo vichache kama si kimoja (Azam) kinacho zalisha wachezji tunawezaje kulalamika kwa nchi zenye vituo zaidi ya 30 Tena vya kisasa na Bado wametolewa mapema?
Sisi ambao tuna wachezaji wachache Ulaya n.k Tena wanao cheza katika ligi za kawaida kwanini tusishukuru, ikiwa Algeria na Ghana Wana wachezaji wanao tamba Ulaya katika ligi kubwa na hawakufanikiwa!!
Sisi ambao Tangu tumeanza kushiriki AFCON hatujawahi kupata point 2 kwanini tusijivunie kwa izo alama 2 wakati hatuja wekeza vya kutosha!!
Mbona husemi huyo Algeria amewahi kufuzu world cup mbona wewe hufuzu