Zitto Kabwe: Kama Ghana, Algeria wametoka AFCON sisi ni nani?

Hahaha Yani unajipima Kwa mtu aliefeli badala ujipime na mtu mwenye mafanikio!...


Mbona husemi huyo Algeria amewahi kufuzu world cup mbona wewe hufuzu
 
Haya ni Yako Wala sio alichosema zitto na alichosema kinabaki kuwa ujinga kama unakubaliana kuwa alichosema ni sahihi basi itakuwa ni aibu maana hao ambao kawatolea mfano huko kwao hapakaliki kote makocha hawana kazi na wachezaji wameficha sura zao Wala hawajapewa pongezi
Cameroun Eto o hadi katoa machozi kwenye dressing room
Namibia kacheza 16 Bora
Angola kaenda robo
Cape Verde anafanya maajabu Kisha unataka tujifunze kwa walioshindwa
 
Upuz mtupu

Wakati wametoka kwa uzembe wao

Maandalizi hakuna...maneno mengi tu

Ova
 
Kweli tusitegemee mabadiliko chini ya CCM, Chadema AcT, sababu viongozi wao ni special in failure, kushindwa kwa mwingine aimaanishi na sisi tushindwe, uyu ajitambui, kwamba sisi tunawategemea Algeria misri
Sasa kama vijana hawataki kuwasaidia uongozi [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ile mechi ya zambia taifa star walikuwa wanamaliza kbs
Lkn wanacheza wana relax
Pmbf zaooo

Ova
 
Zitto yuko sahihi kabisa sema kakosea kuiita kuwa ile ni timu ya taifa hapo tu ! Labda angesema Baba Levo and Mwijaku fc ingekuwa sahihi kabisa
 
Upuz mtupu

Wakati wametoka kwa uzembe wao

Maandalizi hakuna...maneno mengi tu

Ova
Mwisho ahadi na michango kibao, nadhani hili nalo ni chaka la kusafishia fedha naomba nalo liangaliwe kama kweli ile mihela inatumika ipasavyo
 
Wewe ni mjinga kama huyo Zitto, unataka kusema sisi ni dependant wa izo timu kwamba zikishindwa ni sawa hata sisi tukishindwa
Sisi hatujawekeza katika ushindani ila tunashirki na matokeo tuliyopata ni mazuri kulingana na mtaji tukio weka.
Kitendo Cha kutaka tupate matokeo kama ruliwekeza ni mambo ya ki juha.

Ni juha pekee aliye tegemea sisi tutavuka na kwenda roundi inayofuata, izo point 2 tulizopata ni nyingi Sana kwa timu yetu.

Sisi hatuna timu ya Taifa ya kushindana ila ipo ya kushiriki.
Atakama mashindano yakianza upya Leo, tunaweza tusipate ata izo point mbili, tunachocheza sisi sio mpira ila ni vitu vinavyotaka kufanana na mpira.

Wenzetu serikali zao wametia fedha na maarifa kupata timu za Taifa, sisi hatuna mchezo wowote wa kujivunia kwakua Bado hatujawa tayari.

Soka la kisasa ali itegemei FA pekeyake bila serikali kuingilia kati ,Maswala ya kuvuma vipaji kupitia uraia pacha ni ya serikali ili iweze kuvuna isicho panda lakini hatujawa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…