Zitto Kabwe: Kama Ghana, Algeria wametoka AFCON sisi ni nani?

lisu analalamika kukosa point mbili kwenye sare

hapo ndio utajua chadema hakuna kitu , anasahau awamu ya nyuma kusiriki kabla ya hii hatukuvuna point hata moja
 
Complaining and making excuses are cheap..... that’s why everyone can afford it

Ngoja tuendelee kujifariji ujinga
 
lisu analalamika kukosa point mbili kwenye sare

hapo ndio utajua chadema hakuna kitu , anasahau awamu ya nyuma kusiriki kabla ya hii hatukuvuna point hata moja
Kwa hiyo wewe kwako wenye akili ni akina Makonda.😰😰😰
 
Ilichangwa bilion na ushee ndio serekali inapambana kusaidia
 
Jamaa hua linajiona zimo sana kichwani..
 
Kikubwa wahenga twajua

Baiskeli haiendeshwi Kwa kupanda tu ,Bali kupigwa peda

Zitto ,msishangazwe nae ,akiwa mserikali kawajibika panapomuhusu
 
lisu analalamika kukosa point mbili kwenye sare

hapo ndio utajua chadema hakuna kitu , anasahau awamu ya nyuma kusiriki kabla ya hii hatukuvuna point hata moja
Kwaiyo unatetea ujinga.ni lini utakua na akili zitakazowaza mafanikio makubwa?.Hiyo miaka yote ambayo mmeshindwa ni chadema ndio iliyokua inaongoza nchi?.Kila mahali mmeshindwa kazi kujifariji tu na blah blah zisizo na kichwa wala miguu.
 
"Hongera Taifa Stars, mmeonyesha ukuaji na uvumilivu. Ghana katoka, Algeria katoka. Sisi ni nani?" - Zitto Kabwe

#PlusXtraUpdates

Je sisi ni nani tupinge??View attachment 2885365

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kauli ya kinyonge na kijinga sana hii. Yani kauli ya kukubali kuwa sisi hatuwezi tu.

Sasa tumeenda kufanya nini huko? Si tungebaki nyumbani tu?
 
Jinga tu ...linafikiri kwa Tumbo...
Hapo ni siasa za kumfunikia fedheha "Mama" tu.

Kiongozi wa upinzani anatakiwa kukosoa na kuonesha mapungufu yako wapi, kuonesha angekuwa yeye madarakani atafanya kipi tofauti.

Si kupiga maneno ya mkosaji kuhalalisha ukosaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…