Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Ulitegemea ziwe grounded lini ? Kama service hamna unataka ziruke vip , hata kama ni mpya unajua service schedule yake , ndege sio Gari , hlo shirika wamedhamiria kuliua , na watu wanashangilia , ogopa sana kundi la wajinga..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Zilikuwa zinahatamia toka jiwe akiwa hai, zilipofika tu ziliandaliwa viota zikataga na mpaka sasa zinalalia, hayo mayai tayari ni viza.Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?
Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Wewe ndio huna akili kabisa. Wenye akili wangefanya utafiti kujua kuwa je ni kweli ndege ziko mawe au la ili uje kukanusha sasaHakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi
grounded kwasababu wana hujumi shirika maksudi.. kwa malengo yao binafasi..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
grounded kwasababu wana hujumi shirika maksudi.. kwa malengo yao binafasi
Ametukana tusi gani? Mbona Sukuma Gang mnakuwa wapumbavu hivi kuyasema makosa ya mtu ni kumtukana?Kumtukana JPM hakuta kujenga kisiasa hata watu wa kigoma watakukataa labda upewe ubunge wa mchogo ili kulipwa fadhila za aliyekutuma kumchafua JPM
Kwanini asipande? Hebu shirikisha ubongo wako.8Cha ajabu utakuta akitoka hapo apanda hizo ndege ila awahi Dar ili uchukue posho za wanaokumaai
Wewe ndiyo una njaa ya umma?Hakuna hoja hapo zaidi ya njaa zake binafsi