Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Nchi yetu ina wanasiasa wa ajabu sana.
Ukasuku na wimbo wa pamoja tuna imani naye ni tatizo sana.
"Anaupiga mwingi"
 
Chuma na kutu ni Bibi na Bwana, kwani ndege zetu zi za chuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…