Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Weka ushahidi kama zote zinafanya kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukujibu swali.
DuuhUsiongelee NJAA, hata wewe una njaa tena kubwa kuliko zito!
Zungumzia Ndege 6; je ni sahihi ndege mpya kusimama ndani ya miaka 2 tu ya uhai wake au Lucifer alitupia akaficha pesa China na Chato?!
Vinginevyo funga makalio yako hayo kabla hujafirwa bure![emoji23]
Akikupa majibu nishtueWeka ushahidi kama zote zinafanya kazi.
Daah jamaa wametambaa na pesa zetu. Wale wazaLendo sio poa kabisa5523 zile ndege tumepigwa mbaya kabisa.
Hujui kinachoongelewa wewe. I atokana na kwamba huna hoja na hutumiii ubongo kufikiri.Kwaiyo kama zipo grounded ni Kosa la mbeba maono alozinunua au waendeshaji wa shirika wa Sasa au unataka JPM afufuke ili aliendeshe hilo shirika?
Hivi kama ukijenga nyumba warithi wako wakaamua kuigeuza ile nyumba danguro inabidi tukulaumu wewe kwa kujenga hiyo nyumba?
Zito Hana hoja ni shoga tu la kisiasa lenye njaa.
Sasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
😄😂😁😆😅😆😁😄😅😆😁Sasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
Hatari sanaSasa hivi hakuna anayejua ila Zitto mwenyewe kwa vile mtuhumiwa Magufuli hayupo; inawezekana Magufuli alimpa "mimba" ya aina fulani halafu akakwepa kumtunza katika muda wote wa mimba! Not sure!
Fact mkuu Ngozi nyeusi tumezongwa na chuki ubinafsi na ujinga ndio vinavyotufelisha Magufuli alikuwa ni mfano wa kuigwa lakini tulivyo wapumbavu na roho za kitumwa tunamwona magufuli kama adui to be honest Bado yuko gizani sana wa AfrikaZile ndege zote kwa jumla hazifiki hata trilioni mbili. Hii ni hela ambayo kwa kutazama ile miamala aliyokuwa anaikusanya kwenye malipo ya kodi mbalimbali huku chini ukichanganya na vyanzo vingine kama malipo ya tanesco, na makampuni mengine yaani hiyo ni hela ndogo sana.
Tatizo letu watanzania huwa kutumia akili sijajua tunafeli wapi. Ni kwann kipindi cha magufuri waliokuwa wakilalamika sana kupita maelezo hadi michozi walikuwa ni viongozi, watoto wao, hawa viongozi wa upinzani, wamiliki wa NGO's, baadhi ya wafanyabiashara wakubwa etc na wananchi wa kawaida walikuwa poa tu na wengi wao hawakuwa wakipitia hali kama ya sasa.
Haujiulizi kwann sasa hivi hawa viongozi wakubwa, wadau wao, washirika, viongozi wa upinzani etc, wanashindwa kumtamka magufuri hata kwa zuri hata moja, ingawa mambo aliyofanya mengine yanawafaidisha kwa sasa?
Kimsingi kuna siri nzito sana inafichwa na hili kundi la mchwa ambalo wanataka wao pekee yao ndio wafaidike na rasilimali za hili taifa. Kwakifupi hawa watu wameshakuwa compromised inapokuja swala la masilahi ya taifa.
Zile ndege ni chache sana kwa idadi ya mikoa tuliyo nayo. Lengo kuu ni kila mkoa at least uwe na ndege mbili au tatu ambazo zinapiga safari ili kuboost Biashara na mawasiliano. Hizi ndege aina ya bombardier ni ndege nafuu sana kumaintain na hazina usumbufu kama watu wanakuwa serious na biashara.
Zile story za sio lazima kununua ndege unaweza kukodi ni story za kibiashara tu. Unaweza kununua ndege zako hata mia ukiwa na watendaji wazuri faida utaiona na utakuwa na afadhali kuliko yule anayekodi. Sema watanzania tuna kasumba moja, yaani jambo akisema mzungu basi linakuwa kama ibada yaani mwafrika hawezi waza nje ya akili ya maneno ya mzungu.
Mzungu alisema ukitembea kwenye jua kali la mchana utapata kansa ya ngozi. Ofcourse ni kweli ila kwa mtu mwenye albinism na wazungu wenyewe hili jua lina madhara. Ila waafrika unakuta nao wanacopy hii habari wanapakaa sunscreen kwenye ngozi ili watembee juani sasa wewe jua likikupiga una melanin ambayo inafanya ulinzi wa ngozi yako bila hata wewe kuwaza chochote unahangaika na sunscreen ya kazi gani? Machinga wote na wakulima wanaoshinda juani si wangejaa pale Ocean road kutibu kansa ya ngozi.
Juzi kati wakati wa korona, Magufuri akawakataza lock down mkasema vibaya mzee wa watu kuwa hajielewi sijui nini na nini, mzee alikomaa kweli kweli, mwisho wa siku aibu ikawarudia wanaharakati wa mchongo. Corona mbona haikusambaa na kuua inchi nzima?!
Wazungu wameshika sana vichwa vyetu kiasi kwamba tunaamini wapo accurate kwa 100% kumbe sio kweli na always hiyo haiwezi tokea. Tuwe tunatumia akili zetu.
Hawa viongozi uchwara akina Zitto wanalipwa kufanya uhaini ninyi mnawaona icon.
Walamba asali watakuambia alokuwa ni shenaniFact mkuu Ngozi nyeusi tumezongwa na chuki ubinafsi na ujinga ndio vinavyotufelisha Magufuli alikuwa ni mfano wa kuigwa lakini tulivyo wapumbavu na roho za kitumwa tunamwona magufuli kama adui to be honest Bado yuko gizani sana wa Afrika
..usimshambulie Zitto binafsi, shambulia hoja yake.
..hivi unaona ni sahihi ndege hizo 6 kuwa grounded muda mfupi baada ya kununuliwa?
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya Injini. Ndege moja imekamatwa Uholanzi. Si kweli kuwa ndege sita hazifanyi kazi
tumia akili wewe na zito wako, mwenyewe makufuli alipokuwepo hizo ndege zilikuwa zinafanya kazi hazilali wala kuharibika na angekuwepo yeye usingeona hata ndege moja imesimama au kuambiwa ina kutu,
Ndege zilikua zinaingiza Hasara ya Kufa mtu, its just Magufuli hakutaka zikaguliwe, kwanini akatae wakati zinaingiza Faida?hata wewe ukinunua magari kumi mapya yakaanza kufanya kazi vizuri na kukuingizia pesa vizuri sana mara mungu amekuchukuwa mrithi anae rithi hizo magari akiwa hajitambui hizo magari yataanza kusimama moja baada ya nyingine,
Mbona huongelei hizo behewa za treni za mtumba zimenunuliwa kwa mkopo au?Mzilankende Amenunua Midege Kwa Cash Yetu