Atapata kura za Mwandiga na ChakechakeKC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge anawaachia Vijana kutoka Ngome ya ACT Wazalendo
Source: Mwananchi
My take; Lisu sasa arudi NCCR tu
Hata makanisa siku hizi ni ya watu binafsiHivi vyama vinafuata katiba ya wapi kupata mgombea wa urais? Wanakanyaga mno katiba zao.
Haki inaendana na WajibuUjinga ni kutetea upumbavu kisa unakunufaisha. Ruzuku ni haki ya chama kilichoshiriki uchaguzi hata Kama kiliibiwa na kiporwa kura.
Vyama vya Tanzania havifuati katiba ndio sababu Kuna kupita bila kupingwaHivi vyama vinafuata katiba ya wapi kupata mgombea wa urais? Wanakanyaga mno katiba zao.
Na safari hii vita ni Kali Mbowe hataki Lisu agombee ,Lisu anataka kugombea uraisiCHADEMA nayo ina tofauti gani na ACT kwenye mchakato wa kumpata mgombea urais kama sasa hivi Mbowe na Lissu wanataka kushikana mashati?
Bora agombee ili tupunguze kelele za kinafiki. Maana tangu yupo CHADEMA anataka Urais.
Bara ACT haina kitu , ni mfu tu. Visiwani ni nguzo ya Maalim Seif na si ACT as ACT. Kuna siku wataanzsha chama lao ku reflect majina nan imani za wazazibariwameweza kujijenga kitaasisi na hivyo wako tayari kuchukua mamlaka ya Nchi Zanzibar na Tanzania bara k
ACT Kwa Hilo wako vizuri wamepiga hesabu vizuri sana.Bara ACT wazalendo Ina Waislamu wengi na wazazibari wengi wanaofanya shughuli zao Tanzania Bara ambao ni wanachama wa ACT wazalendo na Jamii zaoBara ACT haina kitu , ni mfu tu. Visiwani ni nguzo ya Maalim Seif na si ACT as ACT. Kuna siku wataanzsha chama lao ku reflect majina nan imani za wazazibari
waislamu wamegawanyika ccm chadema, act...........Bara ACT wazalendo Ina Waislamu wengi na wazazibari wengi wanaofanya shughuli zao Tanzania Bara ambao ni wanachama wa ACT wazalendo na Jamii zao
Na nani huyo? 🤔2020 Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe walipigiana kampeni Kigoma na Wote wakagaragazwa 😂😂😂😂
MlaflAmeombwa na amekubali hapo hapo, duh..
Chadema wapo? 🐼waislamu wamegawanyika ccm chadema, act...........
Kila kitu kina mwanzo, hata kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995 Chadema haikusimamisha mgombea urais na imesimamisha wagombea ubunge kwenye baadhi ya majimbo tu.Kampeni zao huwa za ajabu sana, wanatembelea makao makuu ya mikoa tu na zile wilaya zinazopitiwa na barabara kuu inatosha, wanaishia kupata kura chache. Walau chadema wanaweza kuvuna kura nyingi nyuma ya ccm. Act bado sana, labda kwa zanzibar hasa pemba
Chadema Waislamu wa kumulika na torch wachache mno ndio maana hata maandamano ya chadema Dar es salaam yalianzia wilaya zote za Dar kasoro temeke kwenye Waislamu wengi Dar Walijua Temeke hawatapata watuwaislamu wamegawanyika ccm chadema, act...........
Acha udini ndugu.Chadema Waislamu wa kumulika na torch wachache mno ndio maana hata maandamano ya chadema Dar es salaam yalianzia wilaya zote za Dar kasoro temeke kwenye Waislamu wengi Dar Walijua Temeke hawatapata watu
Lakini ingekuwa CCM au ACT wazalendo wangekuwa kibao
this is bad news to chadema and to the puppet politically speaking 🐒KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa.
Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge anawaachia Vijana kutoka Ngome ya ACT Wazalendo.
My take; Lissu sasa arudi NCCR tu.
=====
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuwa wao kama Chama katika miaka yao 10 kama Chama chenye usajili wa kudumu, wameweza kujijenga kitaasisi na hivyo wako tayari kuchukua mamlaka ya Nchi Zanzibar na Tanzania bara kwa kumsimamisha Kiongozi wao Mstaafu wa Chama Zitto Kabwe kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jussa ameyasema hayo jana katika sherehe za kitaifa za maadhimisho ya miaka 10 ya ACT yaliyofanyika mkoani Kigoma ambapo amebainisha kuwa Zitto anayo nafasi kubwa ya kukivusha chama hicho na kuchukua uongozi wa Nchi.
“Tunajua Mnamtaka Zitto kuwa Mbunge wenu hapa mjini kwenye uchaguzi ujao lakini sisi kama chama tunataka atuvushe kwenye nafasi ya uraisi wa Tanzania kutokana na uwezo na nafasi aliyonayo na tunaomba mtoe baraka zenu kufanikisha hilo” — Jussa.
Kwa upaande wake kiongozi wa Chama Mstaafu, Zitto Kabwe amesema kuwa “Niko tayari na nimejianda kimaarifa na kusaikolojia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wakati wowote mkinihitaji niko tayari, kuhusu ubunge hakuna shida wakina Nondo wapo na Vijana wengine wakati wowote tupo tayari kuleta mabadiliko ya ya Nchi yetu, mimi ni mstaafu napokea amri kutoka nyie Viongozi wangu”.
Zitto kabwe mbali na hayo amesema miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chama hicho inatosha kukifanya kuwa Chama kikubwa Nchini na cha Watu hivyo mpango wa miaka 10 ijayo ni mkakati wa kuhakikisha Chama kinashika dola.
Kuhusu mpango wa Chama kumtaka kugombea Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa 2025, Zitto alisema kuwa alijipanga kugombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini lakini Chama kinayo maamuzi na kama kitaamua hivyo basi hatokuwa na kipingamizi.
Millard Ayo
Waligaragazwa na nani? MWIZI ALIEDHULUMU USHINDI WAO MUNGU ALIMPIGA SASA ANATESELA MOTONI2020 Tundu Antipas Lisu na Zitto Kabwe walipigiana kampeni Kigoma na Wote wakagaragazwa 😂😂😂😂