ha ha ha ''sina chama.....''Naona kuna watanzania wameshindwa kumsoma Mbowe kabisa. Hati kaomba poo. Usilolijua nikama usiku wa giza.
Sina chama lakini kati ya Mbowe na Zitto kwa hili ninamkubali Mbowe.
Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe, aliwahasisha Chadema kususia uchaguzi wa serikali za mitaa, wakasusa, CCM wakatwaa ushindi wa mezani.Kwa mtazamo wako Paskali kipi bora Maridhiano ili amani itamalaki au mapambano ya jino kwa jino?
Mkuu hii ni vita ya kugombea wanachama ruzuku iongezeke.Naunga mkono hoja, tupa kule zzk, twende na kina mbowe na lipumba. Kanaona wivu wenzake Jana wamepata coverage forums za kitaifa.
Amesahau hakumbuki kabisa.Wakati wenzake wanamgomea Jiwe Bungeni yeye si alibaki peke yake,Leo hii analialia nini?aache unafiki.
Mbowe ni mnafiki sana hili liko wazi, kasusia uchaguzi , CCM wakachukua ushindi wa 99% tena na vijembe juu vya Polepole , leo eti unaomba nao maridhiano huu ni ujinga mkubwa , yaani mtu akufanyie ubaya tena wala samahani asikuombe , wewe uliofanyiwa ubaya ndio utoke kuomba samahani , nakwambia chadema imekubali kuwa kibaraka wa CCM , huu ni ukweli mchungu kabisaZitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Ata Lowasa aliitwa fisadi na Mbowe lakini badae akapewa ugombea Urais na Mbowe huyo huyo , hivyo ujinga saa ya kwenda sio saa ya kurudiAmesahau hakumbuki kabisa.
Zuzu Mbowe anaejali maslahi yake binafsi ya ubunge 2020 na kuwatelekeza wagombea aerikali za mitaa.Zitto Ni mwanasiasa zuzu kuwahi kutokea Tanzania.. tushamushitukia njama zake.
Mara aje na hoja za Uasi wa kijamii
Mara hoja za kutaka kumpa mchina bandari ya Bagamoyo.
Yani hiki kijamaa sasahivi hakina hoja madhubuti Zaidi ya kuhangaika tu.