LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Zitto hataki maridhiano ya kitaifa.sijamwelewaKama tutaendelea kufanyiwa uhuni kwenye chaguzi kisha tukanyamaza kama juzi, hatutachinjana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitto hataki maridhiano ya kitaifa.sijamwelewaKama tutaendelea kufanyiwa uhuni kwenye chaguzi kisha tukanyamaza kama juzi, hatutachinjana.
Yaani uko tayari watu waendelee kutekwa? Nina wasiwasi Na uzalendo Wa zittoZitto uko sawa!!!
Nakuunga nkono.
Zitto hataki maridhiano ya kitaifa.sijamwelewa
Mnafiki sana huyo jamaa,wengi kawauzakwani yeye alivyokabidhi ilani ya ACT wazalendo huku wengine wakisusa haukua unafiki?wabunge wa upinzani walivyotoka bungeni yeye akabaki haukuwa unafiki,?
Mkuu maridhiano ili wapinzani wapate nini? Magufuli sio mtu wa maridhiano na wala hatakaa awe mtu wa maridhiano.
Nakuona unateseka sana.Nimetoa option ya kukusaidia tu.Kwani CHADEMA ni chama chake Mbowe !
Nakuelewa Sana Mkuu Mshana
Naunga mkono hoja, tupa kule zzk, twende na kina mbowe na lipumba. Kanaona wivu wenzake Jana wamepata coverage forums za kitaifa.
Aisee umempa za uso Hadi nimefurahi.
Wakati Lipumba anajiondoa UKAWA, Mbowe alimtusi sana.Wakati wenzake wanamgomea Jiwe Bungeni yeye si alibaki peke yake,Leo hii analialia nini?aache unafiki.
Kwangu walichofanya chadema ni uungwana, walikwenda kwenye sherehe za taifa letu.kuomba maridhiano ni uzalendo wenyewe.Mkuu maridhiano ili wapinzani wapate nini? Magufuli sio mtu wa maridhiano na wala hatakaa awe mtu wa maridhiano.