ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Binafsi nilipenda body language ya Magu wakati Mbowe anazungumza.Watanzania ni wavumilivu kwa miaka mitano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi namuunga mkono Zitto, haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, inadaiwa.
Kama upinzani nchini unacholilia ni kutendewa haki, hadi ukajitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, tulitaraji huo upinzani uidai hiyo haki, lakini sijaona juhudi za upinzani wowote nchini Tanzania ukifanya juhudi zozote kudai haki.
Magufuli alipoingia tuu alipiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha katiba, kilichotokea kwenye ushawishi/ununuzi wa viongozi wa upinzani kuunga mkono juhudi, sote tunakijua. Kilichotokea uchaguzi wa serikali za mitaa, sote tunakijua.
Mbowe akaona inatosha, Chadema haina uwezo wa kudai haki, hivyo ameomba poo kwa Magufuli kumaanisha sasa uendeshaji wa siasa za Tanzania ni kwa hisani ya Magufuli. Badala ya mapambano ya kudai haki, Mbowe ame opt kutafuta suluhu kwa maridhiano ya kisiasa.
P
Hakika kuna kiwango cha mtu kuvumilia na kikipitiliza hapo, basi maamuzi ya mtu huyo hayapaswi kulaumiwaBinafsi nilipenda body language ya Magu wakati Mbowe anazungumza.Watanzania ni wavumilivu kwa miaka mitano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nikumbushe kidogo historia, wakati ule wa enzi za utawala wa ubaguzi wa rangi kule Afrika Kusini, ambapo waafrika weusi waliteseka sana, hadi shujaa wetu, marehemu Nelson Mandela, kuhukumiwa kufungwa kifungo cha maisha, katika kesi ya kubambika alipoitwa mhaini, hivi kama isingekuwa kwa waafrika wa nchini humo kuomba maridhiano na makaburu wa nchini humo, huyo Mzee Mandela si angefia jela??
Imebidi ucheke kwa vile wewe ni mmoja wa wanufaika wa tension iliyopo na watu wa sampuli yako ndiyo mnamjaza upepo Rais kwani unapata mkate wako kwa kuandika tungo za kuchochea usiwepo utengemano katika Taifa hili.Paragraph yako ya mwisho umeandika;
''Ndiyo maana Mimi naamini kuwa uamuzi wa Freeman Mbowe wa kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ulikuwa sahihi kabisa na wanaoupinga hawaitakii mema nchi hii na wana nia nchi yetu iingie kwenye machafuko makubwa yanayofanana na mauajI ya kimbali''
Imenibidi nicheke baada ya kusoma paragraph yako ya mwisho!
Yaani nchi iingie kwenye machafuko kwa sababu zipi? Kama watanzania hawakupigana na mkoloni wa mwisho ambaye alikuwa mgeni, unadhani wanaweza kupigana wao kwa wao? Forget it!
Halafu Mbowe anataka maridhiano gani kwa manufaa ya nani? Naomba unisaidie kunielimisha!
Kwani CHADEMA na vyama vya upinzani walipokataa kutambua ushindi wa Rais Mkapa na Kikwete yalifanyika maridhiano? Mbona Tanzania iliendelea kusonga mbele kama kawaida.
Ni kitu gani kwa sasa kimebadilika mpaka yawepo maridhiano wakati watanzania ni hao hao ambao walipuuza kelele za kuwashawishi kutawatambua Marais Mkapa na Kikwete.
Hebu wewe kada wa Lumumba nieleweshe hiki kifuatacho, hivi ni kwanini Rais wa nchi kabla hajakabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi, anaapa kuitetea na kuilinda Katiba ya nchi??Paragraph yako ya mwisho umeandika;
''Ndiyo maana Mimi naamini kuwa uamuzi wa Freeman Mbowe wa kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ulikuwa sahihi kabisa na wanaoupinga hawaitakii mema nchi hii na wana nia nchi yetu iingie kwenye machafuko makubwa yanayofanana na mauajI ya kimbali''
Imenibidi nicheke baada ya kusoma paragraph yako ya mwisho!
Yaani nchi iingie kwenye machafuko kwa sababu zipi? Kama watanzania hawakupigana na mkoloni wa mwisho ambaye alikuwa mgeni, unadhani wanaweza kupigana wao kwa wao? Forget it!
Halafu Mbowe anataka maridhiano gani kwa manufaa ya nani? Naomba unisaidie kunielimisha!
Kwani CHADEMA na vyama vya upinzani walipokataa kutambua ushindi wa Rais Mkapa na Kikwete yalifanyika maridhiano? Mbona Tanzania iliendelea kusonga mbele kama kawaida.
Ni kitu gani kwa sasa kimebadilika mpaka yawepo maridhiano wakati watanzania ni hao hao ambao walipuuza kelele za kuwashawishi kutawatambua Marais Mkapa na Kikwete.
Hakuna mahali Mbowe amesema waonewe huruma bali ametoa angalizo kwa Rais kutenda haki.Hayo aliyokuwa anafanya Zitto kipindi cha Kikwete na haya wanayofanya wakina Mbowe yakuomba waonewe huruma yanatofauti gani mkuu?.
Yaani siasa alizofanya Zitto tukaziona zakijinga ndio hizohizo wanakujanazo wakina Mbowe.
Mkuu DOUGLAS SALLU usishangae huyo kada wa Lumumba namna anavyotetea vitu vya kipuuzi namna hiyo, kwa kuwa ndiyo namna yeye na familia yake wanavyotumika na ndiyo "means" ya kwenda "maliwatoni"Imebidi ucheke kwa vile wewe ni mmoja wa wanufaika wa tension iliyopo na watu wa sampuli yako ndiyo mnamjaza upepo Rais kwani unapata mkate wako kwa kuandika tungo za kuchochea usiwepo utengemano katika Taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka 2020 huku wakiwaacha njia panda wanachama wa vyama vyao waliowaambia wajitoe kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Zitto ameenda mbali zaidi na kudai kinachohitajika kwa sasa Tanzania Bara ni siasa kali kama zilizofanywa na wapinzani huko Zanzibar mwaka 2001 ambako kulipelekea CCM kutaka maridhiano (ametumia neno kuomba poo).
Amemaliza kwa kusema, maridhiano hayaombwi bali yanadaiwa.
====
Hoja za wadau
Mimi namuunga mkono Zitto, haki haiombwi wala hailetwi kwenye kisahani cha chai, inadaiwa.
Kama upinzani nchini unacholilia ni kutendewa haki, hadi ukajitoa uchaguzi wa serikali za mitaa, tulitaraji huo upinzani uidai hiyo haki, lakini sijaona juhudi za upinzani wowote nchini Tanzania ukifanya juhudi zozote kudai haki.
Magufuli alipoingia tuu alipiga marufuku mikutano ya siasa kinyume cha katiba, kilichotokea kwenye ushawishi/ununuzi wa viongozi wa upinzani kuunga mkono juhudi, sote tunakijua. Kilichotokea uchaguzi wa serikali za mitaa, sote tunakijua.
Mbowe akaona inatosha, Chadema haina uwezo wa kudai haki, hivyo ameomba poo kwa Magufuli kumaanisha sasa uendeshaji wa siasa za Tanzania ni kwa hisani ya Magufuli. Badala ya mapambano ya kudai haki, Mbowe ame opt kutafuta suluhu kwa maridhiano ya kisiasa.
P
Mkuu Kennedy upo sahihi kwa asilimia 100Jambo Hili Kule Ccm Kirumba Lilitamkwa Likiwa Sawa Sawa
Na Pale Yametazamwa Maslahi Ya Nchi Siyo Vyama Hivi Viwili Vya Ccm & Chadema
Tatizo Inaonekana Tayari Tumeyageuza Na Tunaelekeza Kulaumu Kuwa Upo Upande Ulioshindwa Labda Unaomba Huruma Kwa Huo Mwingine
Ni Nani Kati Yetu Hapendi Kuona Siasa Zikistawi Tanzania Pamoja Na Watu Wake Wakiwa Kwenye Ushirikiano Muda Wote Na Nchi Ikapiga Hatua
Maridhiano Ni Faida Kwa Tanzania Yote Bila Kujari Chama Wala Mtu Mmoja Mmoja
Nijuavyo mimi aombaye maridhiano ni aliyeshindwa, kwa maana hiyo Mbowe anaomba maridhiano kwa kutomtambua Magufuli kama Rais pamoja na serikali yake? Kwa kususia chaguzi za serikali za mitaa zilizofanyika hivi karibuni?Kwa kuzuiwa kufanya mikutano hata ya ndani ya chama? Kwa kesi zinazowakabili mahakamani?n.k
Ni kipi hasa kilichompelekea yeye kuomba maridhiano baada ya madhila yote waliyofanyiwa ikiwemo Mwanasheria wake mkuu wa chama anayeishi uhamishoni mpaka sasa baada ya shambulizi la kikatili?
Sawa,baada ya kuomba maridhiano wamefikia makubaliano yepi?
Mbowe katuvunja sana moyo tuliowaamini, ilikuwa move ya hovyo kabisa kufanywa na tuliyemuamini kama kiongozi shupavu kwenda kupiga goti kuomba poo kwa waliyetuaminisha ni mtesi wao.
Unless atuambie waliyokubaliana katika maridhiano hayo na tuone kwa vitendo vinginevyo tutachukulia kama maridhiano yatakayomnufaisha yeye binafsi na viongozi wenzie chamani mwake.
Wewe hivi hujaona tatizo linaanzia wapi??Nijuavyo mimi aombaye maridhiano ni aliyeshindwa, kwa maana hiyo Mbowe anaomba maridhiano kwa kutomtambua Magufuli kama Rais pamoja na serikali yake? Kwa kususia chaguzi za serikali za mitaa zilizofanyika hivi karibuni?Kwa kuzuiwa kufanya mikutano hata ya ndani ya chama? Kwa kesi zinazowakabili mahakamani?n.k
Ni kipi hasa kilichompelekea yeye kuomba maridhiano baada ya madhila yote waliyofanyiwa ikiwemo Mwanasheria wake mkuu wa chama anayeishi uhamishoni mpaka sasa baada ya shambulizi la kikatili?
Sawa,baada ya kuomba maridhiano wamefikia makubaliano yepi?
Mbowe katuvunja sana moyo tuliowaamini, ilikuwa move ya hovyo kabisa kufanywa na tuliyemuamini kama kiongozi shupavu kwenda kupiga goti kuomba poo kwa waliyetuaminisha ni mtesi wao.
Unless atuambie waliyokubaliana katika maridhiano hayo na tuone kwa vitendo vinginevyo tutachukulia kama maridhiano yatakayomnufaisha yeye binafsi na viongozi wenzie chamani mwake.
Chama nimeamua kufanya siasa za kistaarabu.Hayo aliyokuwa anafanya Zitto kipindi cha Kikwete na haya wanayofanya wakina Mbowe yakuomba waonewe huruma yanatofauti gani mkuu?.
Yaani siasa alizofanya Zitto tukaziona zakijinga ndio hizohizo wanakujanazo wakina Mbowe.