ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Na wewe hilo takataka lako linaogopa nini?Mpuuzi tu tais kasema siasa tuache tujenge nchi mmekalia ujingaujinga tu. Zito tafta kazi ingine ya kufanya siasa imebuma.
Acha unaa mzeeSi alishazungumza tayari huyu,,,, kweny press comference na wenzake wa Chadema
Alisahau jambo gani tena
Mimi kwa ushauri wangu afanye mambo mengine,, haya hayatomsaidia chochote ni kupoteza muda tu
Si alishazungumza tayari huyu,,,, kweny press comference na wenzake wa Chadema,,,,
Alisahau jambo gani tena,,
Mimi kwa ushauri wangu afanye mambo mengine,, haya hayatomsaidia chochote ni kupoteza muda tu,,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa sijacheka siku nzima leo. Thanks.Zitto Kabwe Rais 2025
Mungu akulinde