Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho Novemba 7, 2020

Kabla ya yote aseme kwanini yeye ni kiongozi kwenye ukiukaji wa sheria. Au amesahau alichomfanya mzee wetu Membe?
 
Kabla ya yote aseme kwanini yeye ni kiongozi kwenye ukiukaji wa sheria. Au amesahau alichomfanya mzee wetu Membe?
Usiingilie yakwetu kwani si mlimfukuza Membe? Sisi tunampa hifadhi siku akiamua kurudi kwao atakuja
 
Mmeshaliwa nyie kilichobaki n kukaa kwa kutulia tuu
 
Usiingilie yakwetu kwani si mlimfukuza Membe? Sisi tunampa hifadhi siku akiamua kurudi kwao atakuja
Haki membe aombe radhi ili arudi nyumbani tuu.

Kwa manyanyaso aliyopewa na Zitto nimeamini msemo wa wahenga kwamba HERI KULA TEMBELE LANGU KWA AMANI KULIKO PILAU LA MASIMANGO
 
Baada ya wananchi kuwatosa kwenye box la kura na barabarani saizi maandamano ni kwenye mitandao na press conference. Tafuta kazi ufanye we muha
 
Wabongo mlivyo na roho mbaya, roho zenu zimefurahi sana kwa dhuluma iliyofanyika. Shetani atakuwa na wafuasi wengi sana.
πŸ˜€ jamaa bado haamini kama kibarua kimeota nyasi
 
Zitto atazuiwa...na pengine ndio lengo lakee
 
Haki membe aombe radhi ili arudi nyumbani tuu.

Kwa manyanyaso aliyopewa na Zitto nimeamini msemo wa wahenga kwamba HERI KULA TEMBELE LANGU KWA AMANI KULIKO PILAU LA MASIMANGO
Kwani Membe na yeye anatamani kukaa na wabakaji wa demokrasia?
 
Ujinga mtupu!! Kakosa ajira anambwerambwera tu, atulize kipago.
 
Hichi ndio kilichofanya mitandao ifungwe washindi wa kura za mabegi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…