Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashaona anapuuzwa sasa anakuja na ntoke vipi
zitto ajilinganishe na udp cyo chadema, kwanza cjui hata mikutano yenyewe wanafanyia wapi
ViwanjaniHawa act mikutano yao wanaifanyia wapi
Kidogooo zito waweza msikiliza kuliko yulee jaama wa kulee, zaidii utaaambilia kale kalafudhi ka kinyatulu
Huyu si mama ni dada yake wa dini. Alipoa tangu alipoingia wa dini yake. hana lolote huyo! Zitto haki haipatikani kwenye silver plate, inapiganiwa.Ni jambo jema
Ufipa st waache kulialia