GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haahaaa wanasiasa bwana...
 
Wakati
yeye mwenyewe hata mpigia kura Mgombea wake afu nategemea ashinde kweli
 
Zito anaamini hayo maigizo tutaona ACT ni chama cha upinzani cha kweli?
 
Zitto muhuni ,kwamba kweli angekua anaona fulsa ya chama chake kushinda ,angeenda kugombea ubunge na kuacha nafasi ya urais kweli .

Mpina atakimbia kampeni kama Membe
 
Hivi act waliwezaje kubadili uongozi bila shida kabisa na maisha yanaendelea
Huenda chadema walipaswa kujifunza kwao maana wao uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…