GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna watu mishipa ya aibu ilishachomoka 😹😹
 
Hivi act waliwezaje kubadili uongozi bila shida kabisa na maisha yanaendelea
Huenda chadema walipaswa kujifunza kwao maana wao uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana
Chadema kuna watu waliamini watakua viongozi milele. Tatizo ni hilo tu na walipokosa wakatokomea wakati ndio haohao walikua wanasema hakuna kuhama chama.
 
Hivi mtu kama Zitto haoni aibu kuudanganya umma hizi siasa za Tanzania ni futuhi mpinzani wa kweli ni mmoja na yupo jela the rest endeleeni na maigizo yenu
 
Zitto ni mwana siasa ambae yuko mwisho huu uchanguzi unaweza kua wa mwisho kwake watanzania sio wajinga sana siku hizi Zitto ataenda waliko wakina Mbatia wananchi wameenda wanajitambua tunaweza kubisha kwa mtazamo vyama lakini ukweli group watu wanazidi kuelimika technology pia Mfano hii No reform No Election watu wanaponda Lakin sauti zimesikika zimewafikia Nguvu ya Umma sio mchezo Chanzo cha Mtandao X kufungiwa pia kelele za Reforms zimechangia Lissu wakaona wamtunze maana Waliona itakua bala. Kwa hiyo ukweli una speed ya kombe lakini always haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Zitto siasa zake ziko ukingoni
 
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Haka ka bro kalaghai sana hakajagusia Zenji kule ambako wanaibiwaga asubuhi kweupe kua OMO atakua rais watake wasitake?🤣🤣🤣kamechelewesha sana harakati na God father wake Wembo
 
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Angemalizia kwa kusema, “wasipotangaza washindi wetu tutakinukisha”. Hii ndiyo lugha inayoeleweka kwa CCM.😁
 
Back
Top Bottom