Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Makubaliano yao ya siri kuhusu Kabwe awe na hisa ngapi ACT bora usiyaone.Hivi act waliwezaje kubadili uongozi bila shida kabisa na maisha yanaendelea
Huenda chadema walipaswa kujifunza kwao maana wao uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana