Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Makubaliano yao ya siri kuhusu Kabwe awe na hisa ngapi ACT bora usiyaone.Hivi act waliwezaje kubadili uongozi bila shida kabisa na maisha yanaendelea
Huenda chadema walipaswa kujifunza kwao maana wao uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana
PuppetAkizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Zitto kamuingiza Mpina choo cha kike kwa kumpeleka kugombea Urais! Mpina angebakia kugombea ubunge ambao ana uhakika wa kushinda pale Kisesa.Zitto ni mjinga sana
Zitto amelenga kupata kura nyingi za Urais apate "riziki/ruzuku" kubwa.Zitto kamuingiza Mpina choo cha kike kwa kumpeleka kugombea Urais! Mpina angebakia kugombea ubunge ambao ana uhakika wa kushinda pale Kisesa.
Huko kwenye Urais anapoteza political career yake.
Zitto ni mbeba mikoba ya hao wahuni wa ccm!
Project za watu hiziAkizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
😆😆😆😆😆Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Act hawana madhara kwa ccmHivi act waliwezaje kubadili uongozi bila shida kabisa na maisha yanaendelea
Huenda chadema walipaswa kujifunza kwao maana wao uchaguzi umeacha majeraha makubwa sana
zitto anaangalia uzukuZitto kamuingiza Mpina choo cha kike kwa kumpeleka kugombea Urais! Mpina angebakia kugombea ubunge ambao ana uhakika wa kushinda pale Kisesa.
Huko kwenye Urais anapoteza political career yake.
Zitto ni mbeba mikoba ya hao wahuni wa ccm!
Tukawajali watu (wananchi) maana ndio waajili wetuZitto ni Lipumba wa Kigoma.
Zitto amechanganyikiwa kabisa, siku Zinavyozidi kusogea anazidi kuchanganyikiwa haswaaAkizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Kabisa mmoja alichukua shule ya mtangulizi wake barabara.Mabama na Kigoma si mbali.
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
Zito ashaanza ku brainwash watanzania 🤣🤣🤣🤣Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.