Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja tuone .Huyu baba Kama tumemshindwa tumkabidhi kwa Mungu basi
Shetani si wa kumpuuzaAnajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Huyu baba Kama tumemshindwa tumkabidhi kwa Mungu basi
Unastahili hukumu ya kifo
Si kama wakina Makonda&Co. ambavyo hizo case za money laundering zitawahusu huko mbele ya safari.Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Kwani PAC na tulikopigwa kwenye madini kulikuwa na utakatishaji??
Bonge la movie, Heriet mwanamke jasiri sana hasa pale alipojitoa kuokoa wenzakePoint taken, I believe watu wa Mungu a working on this matter , kwenye movie ya slave inayoitwa Heriet iliyotoka mwaka 2019, inabase kwenye true story ya mwanama aliyekwenda kwa jina la Heriet huyu alikuwa mtumwa, baada ya slave master kuwafanyia ukatili, alienda kwenye madhababu kumlilia Mungu wake kuwa huyu master ni katili sana, Mungu kama huyu mtu habadiliki naomba umchukue, na wakati anaongea haya mtoto wa kiume wa Yule masrer alikuwa anayasikia lakini alileta dharau, baada ya yale maombi Yule slave master alifariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
When I back! Kama hujui kiingereza si uache tu
Kwa nini Uhujumu uchumi kwake uonekane wakati huu ambao amekuwa mwiba mkali kwa serikali?.Nilimsikia kwa masikio yangu maana wakati huo bunge likirushwa live, akishadidia kupitishwa kwa hii sheria ya utakatishaji mwenyewe akisema ni muhimu ili kuzuia "wapigaji" na "upigaji"
Zitto Kabwe alalamikie mambo mengine naweza kumuunga mkono, lakini kwa kupitishwa na kutumika kwa sheria hii awe mpole tu, kwani alidhani anamtungia nani?
Kigoma mbona hamna hivyo - ready made food on que live saved, bufee!Mh. Zitto upo sawa, ni vyema kutumia inteligensia yako na ya Watanzania wema kuweka wazi mbinu ovu dhidi yako. Japo watawala hawa hawana mshipa wa aibu uwe makini zaidi. Mwamini Mola wako pekee, kula ktk bufee,na ready made food on que live saved.
Sent using Jamii Forums mobile app