kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Kweli kabisaa!Anajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaa!Anajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Sijui wazee wa Kigoma wanakwama wapi?!Ngoja tuone .
Mungu analinda yeyote,...hata wale wanaotaka zitto achukuliwe hatua nao wanalindwa na Mungu...Zitto amefanya maovu mengi it is high time now sheria ichukue mkondo wake....Mtu unafanya maovu halafu unataka Mungu....ni sawa na jambazi anavamia benki huku akimuomba Mungu amlindedaah.. kwa hio wanamsubiri akirudi tu wampatie kesi ya utakatishaji!!? mashetani kabisa hawa, Mungu amlinde zitto!
poor you..Anajistukia tu, wameona wamempuuzia na hawana habari nae.
Lakini hakuwa anasimamia kuweka sheria hiyo sawasawa ili ije itumike kubambikia watu. Unajua nyie watu ushetani umewaingia hadi matendo ya kishetani sio aibu tena kuyatenda.Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Kama ilivyo enzi za ukoloni baadhi ya sheria zinatungwa kwa nia ovu. Miongoni mwa sheria hizo ni ile ya ugaidi na hiyo ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi. Watawala husubiri wakati muafaka wa kuzitumia ili kunyamazisha sauti zinazowakosoa na kuwapinga. Utashangaa kwa mfano kuna sheria nyingi mbaya za mkoloni hazijafutwa hadi leo hiiKwa nini Uhujumu uchumi kwake uonekane wakati huu ambao amekuwa mwiba mkali kwa serikali?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa aiseee
Tulishamkabidhi 2015.Huyu baba Kama tumemshindwa tumkabidhi kwa Mungu basi
When I back! Kama hujui kiingereza si uache tu
Zitto kawa Mwiba?Kwa nini Uhujumu uchumi kwake uonekane wakati huu ambao amekuwa mwiba mkali kwa serikali?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Analazimisha tu, lugha ya kwao si ni kifaransa na kirundi?
ulitaka uonekane lini labda ndiyo ujisikie kosa limeonekana?Kwa nini Uhujumu uchumi kwake uonekane wakati huu ambao amekuwa mwiba mkali kwa serikali?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunachoelewa kinachomwandama huyo kiumbe ni Laaana aliyopewa na wanaukoo. Wamemkataza asitumie jina la ukoo wao na wamemtaka atumie jina la Zitto Ruyaagwa na la kabwe lisiwepo.
Hii ndo english ya Zitto? Iko kazi!
Wewe ni mchawi ?Tunachoelewa kinachomwandama huyo kiumbe ni Laaana aliyopewa na wanaukoo. Wamemkataza asitumie jina la ukoo wao na wamemtaka atumie jina la Zitto Ruyaagwa na la kabwe lisiwepo.
Na wamepanga kumerusisha kwao inasemekana hata kabwe siyo dng wake 😅😅😅😅😅😅😅 jamaaa yamemkuta. Alikataliwa Mwezi January,2020 kwenye kikao cha Familia yake.
Kwenye kikao hicho walimweleza kuwa ni Mbinafsi, Mbishi, Haheshimu Wazee wake, Ukoo wake na amekuwa hashiriki misiba ya ndugu zake labda yenye Maslahi kisiasa kwake.