Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye
Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM
1. Petrobas Katambi
2. Lijualikali
3. Silinde
3. Peneza
4. Mashinji
5. Peter Msigwa
Wengine wakasaliti chama waziwazi akina
1. Halima Mdee
Lakini cha ajabu Wanachadema waliendeleza nongwa, chuki, kumbagaza Zitto huku hao makamanda wengine wakijifanya kuwasahau.
Leo tunaona nani ana damu ya upinzani wa kweli, bora Zitto aliamua kupambana lakini akiwa nje ya CCM kuliko wale ambao leo wanaunga mkono juhudi.
Zitto apewe heshima yake!
NJAA KITU KIBAYA SANA!