Kufa tutakufa ila tufe tukiacha tabasamu duniani. Wewe unadhani ndugu zake Benn Saanane na wengine mpaka leo wanaishi vipi?Ni ibada ambayo itatimizwa na kila mwanadamu siku ikifika, wewe na mimi tutakufa pia nyakati zetu zikifika..
wanamwongelea kwa mazuri si kwa mabayaHakuna anayemkejeli Magufuli. Wote wanaelezea sifa na wasifu wa Magufuli kama ilivyo kwa Marais wengine. Mbona mpo leo watu wanamuwongelea hayati baba awa taifa??
Saed Kubenea wa Chadema alisema a apajua Ben alipo!Kufa tutakufa ila
Kufa tutakufa ila tufe tukiacha tabasamu duniani. Wewe unadhani ndugu zake Benn Saanane na wengine mpaka leo wanaishi vipi?
Mbona shetani alishakufa miaka karne lakini kila siku karibu dunia nzima inamshambulia.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] dhambi haziondolewi na mwanadamu bali na Mungu pekee.Haisaidii chochote kwa sasa bwashee.
Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.Duh kweli mna network kubwa kumbe huwa mnaendelea na mawasiliano na mwendazake, asante kwa taarifa kuwa Mwendazake yuko MBINGUNI 😎😎😎🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Tuzidi kuomba uzima kwa Mungu tuzidi shuhudia Ujinga wa wengi
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kumbe pengo mtu mzito sana,,,Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Ha ha ha, kada mwenzangu, hakuna mbinguni,, [emoji23] hizi dini za wazungu na waarabu zisikuchanganye,, hakuna mbinguni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji2788][emoji2788]Haisaidii chochote kwa sasa bwashee.
Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!
View attachment 1984708
Kwa kweli wamuache apumzike
Hahahaaaa...... Heri yao Waaminio!Ha ha ha, kada mwenzangu, hakuna mbinguni,, [emoji23] hizi dini za wazungu na waarabu zisikuchanganye,, hakuna mbinguni[emoji125][emoji125][emoji125][emoji2788][emoji2788]
Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineoKuna maono niliota yakiashiria hayati Magufuli kuandamwa na roho ya kisasi, nikawa nimewasihi wana JF wenzangu kumwombea msamaha na rehema ili Mwenyezi Mungu aweze kumsamehe makosa yake na apokelewe huko mbinguni. Pia nikawa nimewasihi wote walio na kinyongo na hayati waachie moyo wa msamaha, hii itasaidia pia yeye kuweza kupata msamaha na rehema kwa Mungu. Maana binadamu wote sisi siyo wakamilifu, huwa tunakoseana hapa na pale, na pia siyo wakamilifu mbele ya Muumba, tunazo dhambi za wazi kabisa na nyingine za kificho tunazoziita siri, lakini hatujui kuwa Mungu mwenyezi anaona hadi kwenye mawazo ya fikra zako..........
Yeye ndo alokuwa na roho ya ibilisiHayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Mti wenye matunda bwashee!Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Kwa Mungu sio kwa Mzungu au uchaguzi mkuu. Kama alikuwa akitenda haki basi atalipwa kwa haki na kama alikuwa akizulumu haki za wenzake, akiwaonea wapinzani waki wa kisiasa basi hana budi kupokea hukumu yake.Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Zile visions nilizoona mtu kashika bunduki ya kivita anamyooshea mwamba kana kwamba anataka kulipiza kisasi, zilinisikitisha sana.....akapata upenyo wa kukimbia lakini huyo mtu akaendelea kumkimbiza hali kamyooshea mtutu na watu tuliokuwa pale hatuna la kufanya.Hayati Magufuli niseme ana mkosi yaani haipiti siku bila waja kumuandika vibaya why yeye peke yake na Si hayati Mkapa na wengineo
Wasafishe matendo yake yaliyoumiza wengineHaisaidii chochote kwa sasa bwashee.
Mufti Abubakar na Kardinali Pengo walimsafishia njia Magufuli kuelekea mbinguni!