Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Sakramenti ya kitubio mtu awapo kufani hupakwa mafuta!

Karibu tena.
Usijidanganye na kutenda maovu kwa akili zako timamu huku ukidharau maonyo eti siku corona ikikukaba vya kutosha na kujua hauponi utamuita Pengo swahiba wako akupatanishe na Mungu!
Never, hilo unalo mwenyewe.
Tena Pengo huyu aliyesema kuwa Makonda ni kiongozi wa Mfano?
 
Unataka wamsifie tu?
 
Kama kuna jambo lolote kuhusu kiongozi aliye madarakani au aliyestaafu/ hayati si vibaya likazungumzwa kwa nia njema ili watu wajifunze kutorudia makosa kama hayo siku za mbele, au kama ni mazuri basi jambo hilo liwe kama dira mbeleni. Sidhani kama ni jambo la maana kusema kila mara "mwacheni fulani apumzike" wakati kuna mambo yapo rohoni mwa watu.
 
Wewe ni mpagani!
 
Mbona Adolf Hitler,Stalin na Mao hawajaachwa wapumzike?
 
ni upuuzi kumjadili mtu ambaye hayupo duniani na hawezi jitetea kwa lolote.hata kama alikuwa na mabaya yake mwacheni apumzike salama na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.Zito na Vick wanakosea sana na hawana ubinadamu.hukumu si juu ya mwanadamu bali ni Mungu pekee ndo anayepaswa kutoa hukumu.anayehukumu na yeye pia ajue siku moja atahukumiwa.
 
Huyo Baba ni mjomba wako? Kama si mjomba wako basi usimpangie nani wa kumpokea, wapo ambao hata ufanyeje hawapokeleki, mhusika ni mmoja wapo.
 
Nimekuelewa sana bwashee!
 
Mbinguni au mbuguni.
 
Hivi hawa watu kwanini serikali ina waacha wanaropoka ropoka kumsema magufuli kama wenyewe hawatakufa
 
VK anamachungu m UWT huyo manake alivurugwa kuanzia kwenye ubunge kule aliposhindwa mwenyewe, akavurugika na.kutapeliwa ndoa then akavurugwa baada ya aliyekua mume wake kushushwa vyeo pale wizara ya fedha katibu mkuu enzi hizo wanaitwa kutumumbuliwa hazina....spana zikakaza kwenye family level....mr akastrugle kujitafutia kazi AU kule serikali ya JPM ikamkazia kurelaease ruhusa....guarantee....mwishowe furasitiresheni na stress za jobless zikachukua maisha yake RIP.

Isitoshe ubunge wa 2020 pia aliangukia pua nose

Sasa Mrs mdogo ana machungu na hata hajui kwamba sasa hivi ni timeless.

Wengine ni chuki tu bila kutaka kuyakubali majira. Unamuangushia mtu lawama for your own failures

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Comrade tulia watu wamwage nyongo zao.

Pia wafuasi wake tulieni dawa iwaingie.

hapa hawamwagi nyongo wanajichoresha na kutafuka kick tu.

chadema wenyewe washashtuka?hawataji jina la jpm ktk mambo ya kis3nge kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…