Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijidanganye na kutenda maovu kwa akili zako timamu huku ukidharau maonyo eti siku corona ikikukaba vya kutosha na kujua hauponi utamuita Pengo swahiba wako akupatanishe na Mungu!Sakramenti ya kitubio mtu awapo kufani hupakwa mafuta!
Karibu tena.
Unataka wamsifie tu?Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kama kuna jambo lolote kuhusu kiongozi aliye madarakani au aliyestaafu/ hayati si vibaya likazungumzwa kwa nia njema ili watu wajifunze kutorudia makosa kama hayo siku za mbele, au kama ni mazuri basi jambo hilo liwe kama dira mbeleni. Sidhani kama ni jambo la maana kusema kila mara "mwacheni fulani apumzike" wakati kuna mambo yapo rohoni mwa watu.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Wewe ni mpagani!Usijidanganye na kutenda maovu kwa akili zako timamu huku ukidharau maonyo eti siku corona ikikukaba vya kutosha na kujua hauponi utamuita Pengo swahiba wako akupatanishe na Mungu!
Never, hilo unalo mwenyewe.
Tena Pengo huyu aliyesema kuwa Makonda ni kiongozi wa Mfano?
Mbona Adolf Hitler,Stalin na Mao hawajaachwa wapumzike?Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Kwani Pengo na mbinguni Kuna uhusiano gani?Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.
Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
ni upuuzi kumjadili mtu ambaye hayupo duniani na hawezi jitetea kwa lolote.hata kama alikuwa na mabaya yake mwacheni apumzike salama na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.Zito na Vick wanakosea sana na hawana ubinadamu.hukumu si juu ya mwanadamu bali ni Mungu pekee ndo anayepaswa kutoa hukumu.anayehukumu na yeye pia ajue siku moja atahukumiwa.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Huyo Baba ni mjomba wako? Kama si mjomba wako basi usimpangie nani wa kumpokea, wapo ambao hata ufanyeje hawapokeleki, mhusika ni mmoja wapo.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
Nimekuelewa sana bwashee!ni upuuzi kumjadili mtu ambaye hayupo duniani na hawezi jitetea kwa lolote.hata kama alikuwa na mabaya yake mwacheni apumzike salama na hakuna aliyemkamilifu hapa duniani.Zito na Vick wanakosea sana na hawana ubinadamu.hukumu si juu ya mwanadamu bali ni Mungu pekee ndo anayepaswa kutoa hukumu.anayehukumu na yeye pia ajue siku moja atahukumiwa.
Toa kwanza boriti......!Huyo Baba ni mjomba wako? Kama si mjomba wako basi usimpangie nani wa kumpokea, wapo ambao hata ufanyeje hawapokeleki, mhusika ni mmoja wapo.
Mbinguni au mbuguni.Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.
Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.
Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
🤣🤣🤣🤣Mbingu ya ma-kayafa? 😂 😂
Cc Behaviourist
Ha ha ha haaa... Itakua Mbuyuni kabisa...Mbinguni au mbuguni.
Acha watu wateme nyongo Mkuu?Hivi hawa watu kwanini serikali ina waacha wanaropoka ropoka kumsema magufuli kama wenyewe hawatakufa
Sijakuambia kuwa mimi nitapokelewa na Baba ila sijawahi kumfanyia mtu ukatili.Toa kwanza boriti......!
Comrade tulia watu wamwage nyongo zao.
Pia wafuasi wake tulieni dawa iwaingie.