Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii tabia ya kutumia media kumshambulia na kumkejeli hayati Magufuli imeanza kuota mizizi sasa.

Alianza Zitto Kabwe na sasa kaibuka mwanachama wa CCM Vicky Kamata kumnenea mabaya hayati Magufuli.

Itoshe tu kusema, Magufuli aachwe apumzike mbinguni kwa Baba.
 
Umenichekesha, apumzke mbinguni kwa baba, ulienda au uliwahi kufika huko ukahakiksha yupo, au una jua aliko kwa sasa.?! embu muwe mnaficha upumbavu wenu.
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
 
301F2EC1-D9E9-4F78-8D55-FD9B5197665A.jpeg

Kwa kweli wamuache apumzike
 
Fighting with dead body.

Marehemu kama alikuwa katili kwa pumbavu kama hizi yuko sawa kabisa na Mungu amrehemu huko aliko na tunaomba sana aje katili zaidi yake apambane na hizi Pumbavu/ RIP Nzilakende Mwamba wa Chato Pumzika kwa amani Chuma.
 
Back
Top Bottom