Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Alidai katiba kwa Jiwe waziwazi mkawa kimya. Sasa mnajifanya mnaamka eti katiba. Alipomsumbua mungu wenu mlidai Zito ana mitishamba, haonekani. Zito pambana, achana na waabudu misukule.
 
Nina mtizamo tofauti kwamba hakuna binadamu asiyekuwa na udhaifu - sababu za kumunanga Zitto ni nyepesi nyepesi sana. Sababu za kuwa:-
(a). Mkabila - nazikataa sababu wakati akiwa mbunge alitetea uchimbaji dhahabu Buzwagi mahali ambao kuna jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi wengi;

(b). Mwenyekiti wa Kamati ya PAC - hoja zake zilijikita ktk kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma;

(c). Safu ya uongozi ACT - katika chama anachoongoza safu yake imeundwa na watendaji wa makabila ya kitanzania na si waha.
Sasa tukimkataa tumkatae kwa sababu zingine lkn ya ukabila haimati kbs.
 
Hapo katukana wapi? Mmechanganyikiwa?
 
ccm wamekosa hoja wamebaku kubwabwaja tu. Achana nao
 
Ana-qualify kabisa katika hiyo nafasi aliyoitaja wala hana shida yoyote kuhusiana na qualifications.

Tatizo llililopo ameshaanza kuji-disqualify yeye mwenyewe kwa ku-deal na mambo ambayo ni marginals, mambo ambayo mtu mwenye ndoto za juu namna hii hatakiwi kabisa kushughulika nayo
 
Kuwa rais wakati unachukia kanda ya ziwa ni ngumu
 
Huyu huyu mwanasiasa aliyeporomoka ktk viwango vya ubora.Hapana kwakweli.Ajirekebishe kwanza tuanze kumuamini kama wakati ule.Anapima kina cha maji kabla hajaingia janja sana huyu.
 
Huyu hafai kuongoza hata mtaa, ni ndumi la kuwili atatuuza mazima tena mchana kweupe!
 
NI haki Yake Kuota hata Mimi niliota Jana kuwa Mimi ni Rais wa Tanzania.
 
Labda Rais wa Kigoma
Tz hiihiiii wakupe nchi khe bro yu na maono naye au
 
Pia ni mtu anaenunulika , kama ccm waliweza kumnunua ndio wanaoishika sarafu ya kimataifa watashindwa, huyo ni mpumbavu kama mpumbavu mwengine yeyote tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…