Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Urais wa nchi gani? Hatuwezi kutawaliwa na walamba viatu,wanafiki,wachawi na wadini.Very ignoramus!
 
Sasa unataka tubishane juu ya hili pia? Muda huo huwezi kuutumia kufanya jambo jingine la maana?

Kwa hiyo wewe unajiona ni mfuatiliaji wa mambo, na kuelewa hayo unayofuatilia, au unaona maluweluwe ya kupoteza akili yako kwa kuwa chizi wa kutetea mtu mwingine bila hata kufikiri?
Mimi nimefuatilia mwanzo mwisho kipindi hicho COVID-19 imepamba moto, hakuna hotuba yoyote aliyoitoa kwa kusema eti hakuna COVID-19 hapa Tanzania, nahisi wewe ndiye unayepoteza akili yako kwa kuwa chizi kuaminisha Watu uongo wako hapa bila hata kufikiri.
 
Aahaaa, ulikuwa unasubiri hotuba?

Maana yake ni kwamba hukuweza kuona mambo mengine yaliyoashiria yeye kutoamini uwepo wa COVID-19?

Basi akili yako iligotea hapo. Watu wengine ni kama mmeshikiwa akili hivi, huwezi kutumia akili mpaka uamrishwe na huyo aliyekushikia.
 
Kweli inchi imeyumba kisiasa Kama huyu zito mtu mropokaji tu anaebadilikabadilik tn mbaya zaidi hana ata aibu mchumia tumbo mnafiki mzandiki anataka kuwa rais
 
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025

“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.

“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto

Video: Mwananchi
Inabidi aamshwe asije akakojoa kitandani....ndoto huwa zina masikhara yake.
 
Aahaaa, ulikuwa unasubiri hotuba?

Maana yake ni kwamba hukuweza kuona mambo mengine yaliyoashiria yeye kutoamini uwepo wa COVID-19?

Basi akili yako iligotea hapo. Watu wengine ni kama mmeshikiwa akili hivi, huwezi kutumia akili mpaka uamrishwe na huyo aliyekushikia.
Ulitaka alete chanjo ndiyo useme kwamba aliashiria kuwa COVID 19 ipo? Hukuona jitihada za kuwataka watu wamtangulize Mungu? Hukuona jitihada za Serikali za kufuata dawa Madagascar?

Kumbuka kipindi hicho hata chanjo zilikuwa bado hazijathibitika kama ni nzuri, labda uniambie ulitaka ifanyike jitihada gani za kukuaminisha COVID 19 ilikuwepo? Je hawa wa sasa wanaotuaminisha kuwa COVID 19 ipo na kuvaa hayo Mabarakoa yao, mara ya mwisho kutoa takwimu za Wagonjwa na vifo lini?

Wewe ndiye umeshikiwa akili maana hoja zako ni za kukaririshwa si za kufuatilia wewe mwenyewe, kwanza usinichoshe maana maneno yako ya kukera, huwezi sema Mimi nashikiwa akili ilihali akili ninazo mwenyewe, nisije nikakutukana nimkosee Mungu wangu ambaye ananiona hata nikiwa gizani, na Leo nimetoka Kanisani.
 
Wewe ni kiazi kwelikweli.

Watu wajinga kama wewe ndio alikuwa akiwategemea sana Magufuli katika kujazana ujinga kana kwamba hata shule hamkuwahi kwenda.
Hebu angalia huo mstari wa kwanza ulioweka hapo unavyoonyesha ujinga, kama sio upumbavu wenyewe!

Kama wewe ni mcha Mungu, mwombe sana Mungu wako akufunue akili kukuondolea ujinga uanaouonyesha dhahiri. Hivi inawezekana ukawa kati ya watu waliokuwa wakimshauri Magufuli, hadi kwenda kunajisi kwenye nyumba ya Mungu Kanisani kwenda kuhoji imani za watumishi wa Mungu?
Hamuwezi kuwa wapangaji wa mipango ya Mungu, ndiyo maana, baada tu ya kuhoji imani za wengine, COVID-19 ikamgeukia yeye na kumwondoshea mbali.
Inaonesha kidogo unacho kisomo cha kukuwezesha kujadili mambo hata kama ni kwa upotofu. Jaribu kupanua akili yako. Achana na kuimba nyimbo tu, hata kama hujui maana yake ni nini.

Unaitwa "Godman"? Isije ikawa najadili jambo na kilaza kama yule Mbunge wa Kawe. Nyinyi watu sijui mmeibuka tokea sayari gani?
 
Wewe ni kiazi kwelikweli.

Watu wajinga kama wewe ndio alikuwa akiwategemea sana Magufuli katika kujazana ujinga kana kwamba hata shule hamkuwahi kwenda.
Hebu angalia huo mstari wa kwanza ulioweka hapo unavyoonyesha ujinga, kama sio upumbavu wenyewe!

Kama wewe ni mcha Mungu, mwombe sana Mungu wako akufunue akili kukuondolea ujinga uanaouonyesha dhahiri. Hivi inawezekana ukawa kati ya watu waliokuwa wakimshauri Magufuli, hadi kwenda kunajisi kwenye nyumba ya Mungu Kanisani kwenda ,kuhoji imani za watumishi wa Mungu?
Hamuwezi kuwa wapangaji wa mipango ya Mungu, ndiyo maana, baada tu ya kuhoji imani za wengine, COVID-19 ikamgeukia yeye na kumwondoshea mbali.
Inaonesha kidogo unacho kisomo cha kukuwezesha kujadili mambo hata kama ni kwa upotofu. Jaribu kupanua akili yako. Achana na kuimba nyimbo tu, hata kama hujui maana yake ni nini.

Unaitwa "Godman"? Isije ikawa najadili jambo na kilaza kama yule Mbunge wa Kawe. Nyinyi watu sijui mmeibuka tokea sayari gani?
Unajua wewe unatia hasira sana, shukuru sana humu hatujuani kwa sura wala majina, maana vinginevyo tungeanza kutafutana, yaani Mimi unaniita kiazi na tena mjinga, kama haitoshi unaniita kilaza kama Mbunge wa Kawe? Utanifanishaje na mtu mpotofu kama huyo?

Hata kama umejificha kwenye kimvuli cha Jamii Forum kwa kutumia "Avatar" ya Kalamu 1 hutakiwi kunishushia heshima kiasi hicho. Unachotakiwa kufanya ni kujibu hoja zangu kwa hoja, siyo kwa kejeri.

Wewe ilitakiwa uniambie ulitaka afanye nini kudhihirisha kwamba alitambua uwepo wa huo ugonjwa? pia nimekuuliza hawa wanaotambua uwepo wa huo ugonjwa, wametoa takwimu za Wagonjwa na Vifo vitokanavyo na huo ugonjwa?

Nilichogundua kwako ni kwamba una chuki binafsi tu na Mwendazake, kwa sababu badala ya kuja na hoja unashambulia, Mimi siwezi kumuomba Mungu kitu ambacho ninacho kama ulivyoshauri hapo badala yake wewe ndiye unayetakiwa kumuomba Mungu ili akuondolee hizo chuki ulizo nazo na kukupa busara hata kidogo, ninavyoona wewe ni kilaza zaidi hata ya huyo Mbunge uliyemtaja hapo.
 
Hahahahah labda wa Mwandinga tu. Zitto ana tabia za kirundi kirundi. Yaani ni kama mhutu mhutu, chuki zisizokuwa na maana. Yaani uutake urais wakati unamtukama mtu ambaye alikuwa rais na kipenzi cha watanzania?? Hakika Zitto atakufa bila kuwa rais na it will never happen under the system, maana kauli zake zipo rekodedi vizuri kabisa na zitabaki kizazi hadi kizazi. Mnafiki sana mdini na mkabila na hafai
Sio Zitto atakayekufa bila kuwa Rais, hata Mbowe, Lissu, Lema nk. labda waje CCM.
 
Zitto mahali alikosoea ni Uchawa kwa Ssh,kwa kusema wanaompenda Sana Magufuli waende kwenye kaburi lake wakazikwe nae,Kwa vile aliona ssh anamponda Sana mzee JPM,Alafu hii nchi ya hovyo sana hivi wakuu wa jeahi walio kuwa wanaongozwa na JPM wakimuita amiri jeshi mkuu hawajawai kusikia hii kauli ili mamtie Adabu huyu kijana zzK?.
 
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025

“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.

“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto

Video: Mwananchi
Zitto tunayemfahamu sisi ni Zitto wa chadwma na sio hii takataka, nilikuwa namu admire sana mshkaji na zile siasa zake za wayback

sasa huyu jamaa sijui amepatwa na nini hivi sasa !

kama yupo serious juu ya hiki anachoonge inabid atenge sana muda wa kujirekebisha maana jamaa kwa sasa amekuwa kama vile CHAWA wa CCM

watu mpaka leo wanashindwa kuelewa Zitto yupo chama gan!

wapo watu wanaamini kama Zitto ni CCM damu na wapo wachache wanaoamini kama Zitto ni ACT

Inshort kama Zitto unasoma hili bandiko langu jitahidi ubadilike kaka kwani watanzania wengi hivi sasa hawana imani na wewe
 
Unajua wewe unatia hasira sana
Ni lazima "nitie hasira" kwa mtu kama wewe, ambaye tayari nakuona kuwa kama tapeli tu kwa misimamo unayoipigania hapa.
yaani Mimi unaniita kiazi na tena mjinga, kama haitoshi unaniita kilaza kama Mbunge wa Kawe? Utanifanishaje na mtu mpotofu kama huyo?
Ni mfanano wa mawazo yenu. Kama wewe siyo Gwajima mwenyewe, basi mawazo yenu yanashabihiana sana, licha ya kwamba nyote fikra zenu ni kama zilezile za mtu mnayemshabikia (Magufuli).
Hata kama umejificha kwenye kimvuli cha Jamii Forum kwa kutumia "Avatar" ya Kalamu 1 hutakiwi kunishushia heshima kiasi hicho. Unachotakiwa kufanya ni kujibu hoja zangu kwa hoja, siyo kwa kejeri.
Mkuu, mimi sina 'avatar', kwa maksudi mazima niliamua kufanya hivyo.
"Kukushushia heshima" unakokusema hapa ni kutokana na mawazo yako yasiyokuwa na mantiki, kama yale aliyokuwa akiyaeneza marehemu Magufuli.
Swala la COVID-19, ni swala la kisayansi, ni tatizo la dunia nzima. Kwa kiongozi mkuu wa nchi, tena mtu anayejitambulisha kuwa msomi wa kiwango cha Ph.D.,tena ya sayansi, hata kama si maswala ya afya, kujiweka katika kundi lile alilojiweka, akipingana na maoni ya wataalam katika fani hiyo..., halafu nawe ulitambulishe kwa hayo, unapenda nikupe heshima gani wewe.
Basi na yaishe, kama wewe siyo Gwajima, labda ni yule 'surgion' mpuuzi kabisa aliyekuwa akimshauri maswala ya afya ya kujifukiza na upuuzi mwingine kama huo.
Ninakudharau wewe unapokuja hapa na kubeza 'chanjo' huku ukijifanya wewe ni mtu anayemtegemea Mungu. Ni wapi Mungu alipoamru binaadam wasifanye juhudi za kujikinga na maradhi, eti wategemee imani zao kwa Mungu? Wewe huoni 'u-bogus' wa mawazo kama hayo? Halafu eti unalalamika "kuvunjiwa heshima"?
Nilichogundua kwako ni kwamba una chuki binafsi tu na Mwendazake, kwa sababu badala ya kuja na hoja unashambulia,
Sina chuki za binafsi na mwendazake, ila ninachuki na baadhi ya matendo yake ambayo hayakuwa ya kibinaadam hata kidogo. Magufuli angeweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa baadhi ya mambo aliyonuia kuyafanya, lakini alipoteza sifa hiyo ya kuwa kiongozi kwa matendo yake maovu na kwa kiburi kisichokuwa na manufaa yoyote
Wewe ilitakiwa uniambie ulitaka afanye nini kudhihirisha kwamba alitambua uwepo wa huo ugonjwa? pia nimekuuliza hawa wanaotambua uwepo wa huo ugonjwa, wametoa takwimu za Wagonjwa na Vifo vitokanavyo na huo ugonjwa?
Inaonekana wewe ni mgeni humu jukwaani, au huwa tunapishana hatujawahi kukutana hapa JF. Vinginevyo usingeuliza nieleze msimamo wangu juu ya hayo unayotaka niyaandikie juu yake, kwa maana nilishayaandika siku nyingi humu JF, toka mwanzo kabisa wa tatizo la ugonjwa huo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Ni lazima "nitie hasira" kwa mtu kama wewe, ambaye tayari nakuona kuwa kama tapeli tu kwa misimamo unayoipigania hapa.

Ni mfanano wa mawazo yenu. Kama wewe siyo Gwajima mwenyewe, basi mawazo yenu yanashabihiana sana, licha ya kwamba nyote fikra zenu ni kama zilezile za mtu mnayemshabikia (Magufuli).

Mkuu, mimi sina 'avatar', kwa maksudi mazima niliamua kufanya hivyo.
"Kukushushia heshima" unakokusema hapa ni kutokana na mawazo yako yasiyokuwa na mantiki, kama yale aliyokuwa akiyaeneza marehemu Magufuli.
Swala la COVID-19, ni swala la kisayansi, ni tatizo la dunia nzima. Kwa kiongozi mkuu wa nchi, tena mtu anayejitambulisha kuwa msomi wa kiwango cha Ph.D.,tena ya sayansi, hata kama si maswala ya afya, kujiweka katika kundi lile alilojiweka, akipingana na maoni ya wataalam katika fani hiyo..., halafu nawe ulitambulishe kwa hayo, unapenda nikupe heshima gani wewe.
Basi na yaishe, kama wewe siyo Gwajima, labda ni yule 'surgion' mpuuzi kabisa aliyekuwa akimshauri maswala ya afya ya kujifukiza na upuuzi mwingine kama huo.
Ninakudharau wewe unapokuja hapa na kubeza 'chanjo' huku ukijifanya wewe ni mtu anayemtegemea Mungu. Ni wapi Mungu alipoamru binaadam wasifanye juhudi za kujikinga na maradhi, eti wategemee imani zao kwa Mungu? Wewe huoni 'u-bogus' wa mawazo kama hayo? Halafu eti unalalamika "kuvunjiwa heshima"?

Sina chuki za binafsi na mwendazake, ila ninachuki na baadhi ya matendo yake ambayo hayakuwa ya kibinaadam hata kidogo. Magufuli angeweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa baadhi ya mambo aliyonuia kuyafanya, lakini alipoteza sifa hiyo ya kuwa kiongozi kwa matendo yake maovu na kwa kiburi kisichokuwa na manufaa yoyote

Inaonekana wewe ni mgeni humu jukwaani, au huwa tunapishana hatujawahi kukutana hapa JF. Vinginevyo usingeuliza nieleze msimamo wangu juu ya hayo unayotaka niyaandikie juu yake, kwa maana nilishayaandika siku nyingi humu JF, toka mwanzo kabisa wa tatizo la ugonjwa huo.
Nafikiri kila Mtu abaki na msimamo wake, huwezi badili kile ninachoamini mimi.
 
Back
Top Bottom