Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Anafaa sana ila arekebishe mitazamo yake kuhusu udini na ukanda
Zito ni mfia Kanda ya kwao hasa kigoma. Kwa namna Moja au nyingine ana element za udini hasa notion kwamba Muslims wamebaguliwa
Otherwise anaweza kuwa kiongozi mzuri sana.
Ni mtu mwenyew upeo WA mambo mengi na anijua nchi na mifumo yake
Ni mtu elijielimisha hasa kwa kutafuta maarifa
 
Zitto Kabwe, just pipe down!
He is so desperate to win the majority, ila kwa mshangao yaani kajichimbia shimo ambalo kutoka kwake anahitaji miaka mingi sana. In short Zitto ni idiot na none sense of the way anavyo ji behave. It’s very unfortunate kuwa na kijana mwenye akili za wivu kama Zitto. Na kila takaye onesha kumtukana Dkt Magufuli watanzania watamfuta ktk ulimwengu wa siasa.
 
Nafasi zingine hazifai kwa mtu kigeugeu, asiyekuwa na msimamo, ndumilakuwili, mnafiki.....
 
Hana tofauti na Magufuli.
Tofauti ipo.

Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.

Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
 
Namuunga mkono
P
Baba Paskali,
Salaam, Mkuu kwa kweli sikatai hoja zako na mtizamo wako kwa Kiongozi wa ACT Wazalendo ZZK, Kwa kweli moja ya sifa ya mwanasiasa ni maono na maono chanya, hakuna kiongozi asiye na maono.
Lakini linafika suala la nani kuwa nani ni Mipango ya Mungu, Rais ni cheo cha mwisho kabisa katika uongozi wa nchi, Lakini lazima ukumbuke kuwa MUNGU ndiye anayewaweka Wafalme, Rais ni Mfalme hata kama ni kwa muda maalum lakini ni Mfalme.
Rejea Biblia:
A:Mungu alipomtuma Samwel kumpaka mafuta Saul kuwa mfalme wa Israel

B.Mungu alipomtuma Samwel kumpaka mafuta Daud,
Kwa hiyo wafalme wote ni chaguo la MUNGU.
 
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025

“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.

“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto

Video: Mwananchi
Aendelea kuota, maana mara zote hakuna ndoto ambayo huwa kweli.
 
Zitto ni kiongozi makini Sana na anafaa kwa nafasi ya urais...tatizo chadema na sukuma gang Wana chuki binafsi kama za mwenda zake...
Hakuna kitu hapo, hana sifa ya kuwa Rais, hivi vingine ulivyoandika ni visingizio tu.
 
Tofauti ipo.

Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.

Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Noted mkuu
 
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania akiwa katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

"Mimi urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika siasa kuweza kuiongoza nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais waka 2025

“Uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mwenyezi Mungu chama lazima dhamana na baadaye wananchi watoe dhamana.

“Pia kuna kilio cha ushirikiano wa vyama vya upinzani ili kupambana dhidi ya Chama Cha Mapinduzi, kama tutashirikiana inawezekana mgombea nikawa mimi au nisiwe akawa mwingine,” Zitto

Video: Mwananchi
Hata nguchiro mzikwa wa kaburi leo anaitaka ikulu
 
Tofauti ipo.

Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.

Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Yupi aliyedai kuwa COVID 19 haukuwepo Tanzania? Huwa unafuatilia mambo kweli wewe? Kuna wakati ni bora kukaa kimya!
 
Tofauti ipo.

Zitto, pamoja na kutokuwa na elimu ya kiwango cha Ph.D. kama alichokuwa nacho Magufuli, Zitto ni mwelewa wa mambo mbalimbali ya kidunia.

Kwa mfano. Zitto hawezi kudai kuwa COVID-19 haikuwepo Tanzania na kuhimiza watu wakajifukize.
Hakuna mahali magufuli aliwahi sema corona haipo.

Alichokua anapingana nacho ni njia za kupambana nayo. Ambayo alikua sahihi.

Ambapo baada ya muda zimekuja kutumika na wengine.
 
Chadema ilimtema kwa unafiki,,Unafiki huohuo tunauona kwake ktk wakati huu,
kweli tabia ni km ngozi ya mwili,Leo huyu eti tumpe nchi awe Rais wetu,fyuuu akawe Rais wa makaburi ya ukoo wake ,na sio nchi yetu hii pendwa,Ambayo ardhi ni Baba na Mama.
 
Simshangai, mtu yoyote anaweza kuwa rais Tanzania.

Magufuli tu ndio alituonyesha urais nikazi ngumu kiasi gani.
Alikuwa bize mudawote kujaribu kutatua changamoto za watanzania kwa moyo.
 
Ni jambo jema kuwa na maono @ Ndugu Zitto Kabwe.

Hakika unaweza sana kuwa Rais wa JMT [emoji123]

Sifa zote unazo za kuwa kiongozi Mkuu wa JMT.

I encourage you [emoji123]

Mwenyezi Mungu akujalie ndoto yako kutimia mwaya!
 
Back
Top Bottom