residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kila binadamu ana haki ya kuwa na ndoto yake/zake na kufanya juhudi kuitimiza/kuzitimiza.Hahahahah labda wa Mwandinga tu. Zitto ana tabia za kirundi kirundi. Yaani ni kama mhutu mhutu, chuki zisizokuwa na maana. Yaani uutake urais wakati unamtukama mtu ambaye alikuwa rais na kipenzi cha watanzania?? Hakika Zitto atakufa bila kuwa rais na it will never happen under the system, maana kauli zake zipo rekodedi vizuri kabisa na zitabaki kizazi hadi kizazi. Mnafiki sana mdini na mkabila na hafai
Kama wewe huna ndoto basi ni maiti.
La msingi ni je,hiyo ndoto inatimizika na inatimizikaje?