Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Erythrocyte, Sawa kesho ataibuka na uwongo wa kufa kabisa!
mwenzenu anajua hana ubunge tena kigoma anatafuta ukimbizi marekani
Ameumwa Wapi, Mbona alipitia Burundi yupo Dar es salaam.Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena.
========
Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari wake wamemzuia asisafiri na kumuambia apumzike siku zisizopungua kumi ili waangalie afya yake inaendeleaje.
Kesi yake imeahirishwa hadi tarehe 19 Februari 2020.
Leo Mahakama ilikuwa itoe maamuzi kama ndugu Zitto ana kesi ya kujibu ama vinginevyo.
Zitto anadaiwa Oktoba 28, 2018 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika katika Makao Mkuu ya ofisi ya Chama cha ACT Wazalendo, alitoa maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki.
Ilidaiwa kuwa katika tarehe hiyo hiyo, Zitto alitoa maneno ya uchochezi dhidi ya Jeshi la Polisi akisema, “Tumekuwa tukifuatilia kwa kia yanayojiri yote huko Uvinza, tunasikitika kusema kuwa taarifa tunazozipata kutoka Uvinza zinaogofya mno, kwani tunaambiwa kuwa wananchi zaidi ya 100 wa kabila la Wanyantuzu wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Polisi, wengine wakisema kuuawa hata wakiwa kwenye matibabu hospitalini baada ya kujeruhiwa kwenye purukushani na jeshi la polisi...”
Kama hayo ni maneno ya uchochezi, je wale wanaosema auwawe si wachochezi? Mbona hawajachukuliwa hatua zozote?Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena.
========
Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari wake wamemzuia asisafiri na kumuambia apumzike siku zisizopungua kumi ili waangalie afya yake inaendeleaje.
Kesi yake imeahirishwa hadi tarehe 19 Februari 2020.
Leo Mahakama ilikuwa itoe maamuzi kama ndugu Zitto ana kesi ya kujibu ama vinginevyo.
Zitto anadaiwa Oktoba 28, 2018 akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika katika Makao Mkuu ya ofisi ya Chama cha ACT Wazalendo, alitoa maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki.
Ilidaiwa kuwa katika tarehe hiyo hiyo, Zitto alitoa maneno ya uchochezi dhidi ya Jeshi la Polisi akisema, “Tumekuwa tukifuatilia kwa kia yanayojiri yote huko Uvinza, tunasikitika kusema kuwa taarifa tunazozipata kutoka Uvinza zinaogofya mno, kwani tunaambiwa kuwa wananchi zaidi ya 100 wa kabila la Wanyantuzu wamepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Polisi, wengine wakisema kuuawa hata wakiwa kwenye matibabu hospitalini baada ya kujeruhiwa kwenye purukushani na jeshi la polisi...”
Kama hayo ni maneno ya uchochezi, je wale wanaosema auwawe si wachochezi? Mbona hawajachukuliwa hatua zozote?
Kumbe mchochezi ni yule anayesema kweli kuhusu mapungufu ya sirikali?
KWANI WEWE NI MUNGU?Si alisema haogopi kufa?
Kwa hiyo kuumwa ni kuogopa kufa?Si alisema haogopi kufa?
Jibu lenye "mlinganyo sahili"!😂hakusema haogopi kuumwa
Mwanaume kwa utawala huu kuitwa kisutu ni ushujaa, siasa inafanywa na dola/mahakamani/Ofisi ya Supika kwa niaba ya CCM. Ndio maana watu kama nyie na TBC ndio mnaotakiwa zaidi katika utawala huu.Kelele zake zote zile kule Canada kumbe Kisutu inamuita?
Nilimuona hapa hospitali ninayofanya kazi ya research moja, ndipo amesema yeye anajisikia kwamba anaumwa ____.
Msimshangae 2020 elections hazipo upande wake