Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

mwenzenu anajua hana ubunge tena kigoma anatafuta ukimbizi marekani
 
Ameumwa wapi huyo, ali
Ameumwa Wapi, Mbona alipitia Burundi yupo Dar es salaam.
 
Kama hayo ni maneno ya uchochezi, je wale wanaosema auwawe si wachochezi? Mbona hawajachukuliwa hatua zozote?
Kumbe mchochezi ni yule anayesema kweli kuhusu mapungufu ya sirikali?
 
Tanzania kuja kuwa na Responsible Government that respects its mandate, may take time.

Hizi serikali tunazopata kutokana na chama kile kile miaka nenda rudi hazijui ni kwa nini ziko madarakani.

These governments are a great liability to the people of this country.
 
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema amponye Zitto arudi kwenye mapambano mapema ya kupambana na mkoloni mweusi
 
Kelele zake zote zile kule Canada kumbe Kisutu inamuita?
Mwanaume kwa utawala huu kuitwa kisutu ni ushujaa, siasa inafanywa na dola/mahakamani/Ofisi ya Supika kwa niaba ya CCM. Ndio maana watu kama nyie na TBC ndio mnaotakiwa zaidi katika utawala huu.

WEngine wenye akili timamu na wanaojitambua kwao kisutu, risasi na kuwatosa baharini sio ndio michezo yenu.

Kudadadeki USA hamkanyagi hata kwenda kuuliza hospitali gani hamuwezi, ushamba wenu mnashindwa padogo sana na wenye akili.
 
Zitto don't come back... Yanakutolea udenda
 
Nilimuona hapa hospitali ninayofanya kazi ya research moja, ndipo amesema yeye anajisikia kwamba anaumwa ____.
Msimshangae 2020 elections hazipo upande wake
 
Aumwe hivyohivyo..
Nilimuona hapa hospitali ninayofanya kazi ya research moja, ndipo amesema yeye anajisikia kwamba anaumwa ____.
Msimshangae 2020 elections hazipo upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…