Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Anaandika Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter.

"Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao. Kwa Kigoma nimesikitika kuwa sauti muhimu kama Nsanzugwanko, Serukamba na Hasna hawatakuwapo Bunge la 12. Kwa Nchi uzoefu wa Mzee Chenge tutaukosa hasa kipindi hiki watu wanataka kubadili Katiba."

Screenshot_20200820-172253.png

My Take; naanza kupata mashaka na upinzani wa Zitto. Huyu Chenge si ndio alimtaja kuwa ni fisadi papa huyu?
 
Huyu zitto ni mjinga, sasa hapo si ndio inakuwa vizuri upinzani kushinda? Au alikuwa hataki upinzani ushinde kwenye hayo majimbo?
Chenge hata kama ni nguli wa wa sheria. Bado miaka zaidi ya 30 awapishe wengine..

Hasna ana nini na Zitto? Mpenzi wake? Mbona hai make sense?

Nsazugwako ni mtanzania kweli? Mbona jina la kihutu?
 
Awakaribishe ACT ili aendelee kuwa nao..
 
Back
Top Bottom