Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo yeye Zito na chama chake hawataweka wagombea majimbo yenye watu wazoefu aina ya Chenge ili wapite bila kupingwa!
Siasa za bongo bhana.
naanza kupata mashaka na upinzani wa Zitto.
Huyu Chenge si ndio alimtaja kuwa ni fisadi papa huyu?
Acha hizo wewe.Hapo hujamuelewa imetumuka fasihi , nahau na lugha ya kisiasa
Acha hizo wewe.
Na utu uzima huu unataka kunifunga kamba kirahisi hivyo!
Nzanzugwanko Ni mtu wa kasulu wanasikilizana kila kitu na warundi Kama alivyo Mwami Zitto Ruyagwa,Mwami alikua mtemi wa warundiChenge hata kama ni nguli wa wa sheria. Bado miaka zaidi ya 30 awapishe wengine..
Hasna ana nini na Zitto? Mpenzi wake? Mbona hai make sense?
Nsazugwako ni mtanzania kweli? Mbona jina la kihutu?
Walikuwa wanaiba wote.Hilo fisadi nalo unalimiss vipi?
HUMJUI ZITO WEWE! ANAWACHONGANISHA ILI WAUNGE MKONO UPINZANI. HIYO NI MBINU YA KIBAHARIA.Zitto ni mjinga, sasa si ndio vizuri ili upinzani ushinde kwenye hayo majimbo?? Ina chama chake walikuwa wanagombea kama geresha?
EtiZitto ni mjinga, sasa si ndio vizuri ili upinzani ushinde kwenye hayo majimbo?? Ina chama chake walikuwa wanagombea kama geresha?