Kasunguranyama
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 499
- 368
Hukusoma fasihi? Ongeza utulivu kidogo utaelewaHuyu zitto ni mjinga, sasa hapo si ndio inakuwa vizuri upinzani kushinda? Au alikuwa hataki upinzani ushinde kwenye hayo majimbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukusoma fasihi? Ongeza utulivu kidogo utaelewaHuyu zitto ni mjinga, sasa hapo si ndio inakuwa vizuri upinzani kushinda? Au alikuwa hataki upinzani ushinde kwenye hayo majimbo?
Zitto Na Chama chake sio wa kuamini kabisa
huyu zitto Kuna machapisho yake Mengi KUWA Chenge Ni Fisadi Papa #Haguswi ndani ya CCM
leo kakurupuka kusifia mpuuzi huyu
Ukitulia utamuelewa ZZKLeo uzoefu wa Chenge unaliliwa! Nikikumbuka yale matusi yetu. Siasa zetu hizi, usishangae miaka ijayo wapinzani wakamuimbia mapambio kama haya Makonda ambaye utawala huu katukanwa matusi yote.
Zitto siyo mpinzani, anatumika na usalama ila Mch Msigwa anaekula meza moja na jiwr na kuhudhuria vikao vyote vya juu vya CHADEMA tunamwamini.Kwani akiyekuambia Zitto ni mpinzani kwa sasa ni nani? Bei ilitimia kumtoa Chadema na kumleta kwetu. Yuko kwenye umbrella zenu anatekeleza majukumu yake.
Hakuna fasihi hapo zitto ni mpinzani jina tuHiyo lugha imejaa fasihi iliyofichwa mkuu.jiongeze tu kumwelewa.