Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo mbumbumbu kabisa mzito kichwani kama kaa la mawe. Unashindwaje kuelewa. Nimekwamvia mada inahusu Zitto na usiniletee umbumbumbu wako.Huna akili
Ndio rangi yake halisi hiyo mkuu.Nimeangalia hii post mara 5 kuhakiki tarehe kama za nyuma au ni current! Huyu Kabwe ni mgonjwa eeh! Anasema atamic uzoefu wa mzee Chenge wa rushwa na Ufusadi! Huyu kijana Zt wakati mwingine ananishawishi nimkubali but sometimes namwona kama kinyonga, nyoka na sometimes a human being!!
Hata wewe imekutisha?Huyo sentence ya mwisho inatisha Sana.
Tz kuna mbumbumbu wengi zitto katumia lugha ya Picha (Fasihi)
Sure ila zitto swala la unafiq na fitina awamsingizii nikweli. Japo yuko makini in other side.Usisumbuke mkuu, wanachadema wana chuki kali lakini yenye wivu mkali kwa Zitto, Yaani wanamuonea wivu sana huku wakimpenda. Unajua Zitto ana kitu fulani ndani yake ambacho wengi hawana kwa hiyo anachukiwa kwa vipawa vyake adhimu.
Na kuna chadema waliojiapiza kumfanyia character assasination huyu kijana ili kumuondolea kuaminika mbele ya wananchi ili iwe ni njia ya kuihami Chadema isipoteze imani ya umma baada ya mgogoro ule ndani ya Chadema mwaka 2013. Walikosea sana!. Leo wale waliokuwa wakiwaona majembe ndo wameahamia CCM mchana kweupeee
Maana yake anawakaribisha ACTHiyo lugha imejaa fasihi iliyofichwa mkuu.jiongeze tu kumwelewa.
Maana yake anawakaribisha ACTHiyo lugha imejaa fasihi iliyofichwa mkuu.jiongeze tu kumwelewa.
Daa kama haeleweki kama anaeleweka vilee.Hiyo lugha imejaa fasihi iliyofichwa mkuu.jiongeze tu kumwelewa.
Hakuna lugha ya picha hapoTz kuna mbumbumbu wengi zitto katumia lugha ya Picha (Fasihi)