Natafakari sana safari ya upinzani tangu 1995 ilivyodhoofishwa na mapandikizi. Hivi karibuni vyama vya ACT na CHADEMA ndo vimejinasibu na kuonesha taswira ya upinzani halisi.
Lakini baada ya CCM kutangaza wagombea wake, viongozi wakuu Zitto na mgombea urais Membe wameonekana kuguswa kwa sababu ya kukatwa kwa baadhi ya makada. Wakati Zitto akimlilia fisadi namba moja mzee wa visenti, Membe ametoa pongezi kwa waliopitishwa na akatoa pole kwa waliokatwa.
Tuzidi kutafakari kama kweli ACT ni chama cha upinzani